Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mind game, asemea anagombea ubingwa tuanze kumpressurelize, Arteta msimu uliopita ndio alitakiwa kuchukua ubingwa mana hakua na presha, alikua anajificha kwnye kichaka ch kujenga timu. Msimu huu ana presha y kubeba ubingwa, mtakua natandikwa hovyo.

Are888 mkimaliza nafasi 4 za juu, niitwe mbwa jike. Nimekaa palee
Kenge mtumie €600m muishie nafasi ya 12 msiwe na presha

Ila Arsenal ya maziwa na asali ndio iwe na presha ?[emoji1787][emoji1787]

Mind game kwa kiungo Cha Ogochukwu?
 
Wajaze wenzio ujinga, hao hao akina mudryk ndio wanakuja kuwatandika. Tena mudryk akiwaweka goli awachokonoe pale pale kwnye kidonda.
Rasmus Hojlund amefikia idadi sawa ya magoli ya mudrky wa €100m Mudr goal kwenye Premier League.

Mudrky goals 0
Hujlund goals 0

He joined at 7:15pm today.
 
Mind game, asemea anagombea ubingwa tuanze kumpressurelize, Arteta msimu uliopita ndio alitakiwa kuchukua ubingwa mana hakua na presha, alikua anajificha kwnye kichaka ch kujenga timu. Msimu huu ana presha y kubeba ubingwa, mtakua natandikwa hovyo.

Are888 mkimaliza nafasi 4 za juu, niitwe mbwa jike. Nimekaa palee
Tilikukataza kujiita mwajuma

Sasa hivi umeanza kutaka kuitwa mbwa jike!
Kwanini usiitwe tu mbwa?
 
Onana + Mount + Hojlund = £150m. Kisha kuna gaidi inagongwa £105m kwa gunia moja la mchele lenye halijui ball ata Kobbie Mainoo is better [emoji23][emoji23][emoji23]

West Ham! You will not see heaven. Ndio maana tunawauzia Maguire na McTominnay ndio ata sisi tukule hio hela[emoji23][emoji23][emoji23]

Tunaendelea kununua wakuu, wale mlisema club haina hela bado msubiri Amrabat by next week, Alaba/Disasi na Harry Kane kama deadline signing. Mtatoa ndani sana next season na tuliwaambia mnunue goalkeeper mzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] TUSILAUMIANE[emoji120]
Screenshot_20230729-202548.jpg
 
Wajaze wenzio ujinga, hao hao akina mudryk ndio wanakuja kuwatandika. Tena mudryk akiwaweka goli awachokonoe pale pale kwnye kidonda.
Ww level zako ni kina Aston villa...mmeshindwa kutufunga na viungo wa ball kina Kovacic ndo mje kutufunga na hayo ma zombie....sahau
 
Onana + Mount + Hojlund = £150m. Kisha kuna gaidi inagongwa £105m kwa gunia moja la mchele lenye halijui ball ata Kobbie Mainoo is better [emoji23][emoji23][emoji23]

West Ham! You will not see heaven. Ndio maana tunawauzia Maguire na McTominnay ndio ata sisi tukule hio hela[emoji23][emoji23][emoji23]

Tunaendelea kununua wakuu, wale mlisema club haina hela bado msubiri Amrabat by next week, Alaba/Disasi na Harry Kane kama deadline signing. Mtatoa ndani sana next season na tuliwaambia mnunue goalkeeper mzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] TUSILAUMIANE[emoji120]View attachment 2702620
Ligi inaanza sio mda mrefu...hyo Jesse Pinkman mlomsajili na haka ka mdoli wanakokaita halaand mdogo sijui mtakuja kuwatukana hmu...halafu safari hii malalamiko ya kocha wenu baba Ubaya sijui mara majeruhi mara suspension zimem cost hatuyataki...mmepewa mda wa kutosha kusajili...malalamiko hatutaki mkianza kugombea nafasi ya sita ya Brentford
 
Onana + Mount + Hojlund = £150m. Kisha kuna gaidi inagongwa £105m kwa gunia moja la mchele lenye halijui ball ata Kobbie Mainoo is better [emoji23][emoji23][emoji23]

West Ham! You will not see heaven. Ndio maana tunawauzia Maguire na McTominnay ndio ata sisi tukule hio hela[emoji23][emoji23][emoji23]

Tunaendelea kununua wakuu, wale mlisema club haina hela bado msubiri Amrabat by next week, Alaba/Disasi na Harry Kane kama deadline signing. Mtatoa ndani sana next season na tuliwaambia mnunue goalkeeper mzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] TUSILAUMIANE[emoji120]View attachment 2702620
Hatutegemei kusikia habari za Graza hawatoi hela

Mpaka Sasa mount anaonekana mmeshakula za uso

Nyie ni tushawazoea kupigwa , [emoji1787]

Mnanunua CF kwa €85m hana hata goli 10

Hakika utapeli hautakuja kuisha
 
Premier League referees will add up the time lost on free kicks, goal celebrations and penalties from next season. [emoji3496]

Last season, the average playing time was 54 minutes and 49 seconds in a game [emoji2962]
 
Huyo mbwa jike nimepanga nimjibu kuanzia mwezi wa 12 tukiwa on top Kama kawaida yetu[emoji120]
 
Premier League referees will add up the time lost on free kicks, goal celebrations and penalties from next season. [emoji3496]

Last season, the average playing time was 54 minutes and 49 seconds in a game [emoji2962]
Hii itakuwa nzuri sana
 
Ila wakuu wengine uvumilivu wa kishabiki Amna kabisa utadhani ni vita punguzeni u serious mpira sio uadui ni burudani.

Naona mnavuka mipaka sasa wakati mpira ni kutaniana Sasa nyie sio utani ni matusi.
Ukijijua uwezi utani Bora ukaushe tu.
Ni wapumbavu flani walokosa ustaarabu....jitu linakuja kutukana na kuongea mambo ya kudhalilisha watu hmu ndani kwa kofia ya ushabiki...jitu kama hili hata katika maisha ya kawaida linaonekana ni hopeless kabisa...
Ila wakuu wengine uvumilivu wa kishabiki Amna kabisa utadhani ni vita punguzeni u serious mpira sio uadui ni burudani.

Naona mnavuka mipaka sasa wakati mpira ni kutaniana Sasa nyie sio utani ni matusi.
Ukijijua uwezi utani Bora ukaushe tu.
Ni wapumbani Fulani walokosa ustaarabu na hekima...inaonekana hata kwny maisha ya kawaida ni hopeless kabisa hii mijitu...
 
Albert Sambi Lokonga anakaribia kujiunga Burney

[emoji1045] Mazungumzo yanaendelea kati ya #ArsenalFC na #BurnleyFC kutafuta makubaliano ya mkopo pamoja na chaguo la kumnunua moja kwa moja ambalo linaweza kuwa la lazima endapo kiungo huyo wa Ubelgiji atacheza idadi fulani ya mechi.

[emoji848][emoji362] Wazo la kwanza la kiungo huyo wa Ubelgiji lilikuwa ni kujaribu kwenda nchini Uhispania lakini timu ya Vincent Kompany ,Burney itakuwa suluhisho thabiti zaidi kwa sasa na hiyo itamruhusu kuonyesha na kuthibitisha kuwa yuko tayari kwa PL.
 
David Raya is understood to FAVOUR a move to long-term admirers Arsenal, where he would be reunited with former Brentford goalkeeper coach Inaki Cana. [@David_Ornstein]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom