hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Kuna Imani inaniambia soon zitaanza kutoka taarifa za kudus ,Kabla ya kuhangaika na RCB mi nataka tumlete KUDUS Kwanza.
Maana mwanzo wa dirisha ,Arsenal walifanya nae mazungumzo, juzi hapa wakafanya nae mazungumzo
Kuna sauti inaniambia siku chache zijazo au tutasikia taarifa ,