hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Dhambi mtubu nyie mliosema hata top 6 hatuingiiNyie kwanza mna dhambi kuu ya tokea msimu uliopita kwa kuuhadaa ulimwengu kua lazima mtachukua ndoo, baada ya Mancity kuwafanyia kitu mbaya badala mtubu dhambi zenu mkasingizia fezi foo.
Kabla ya ligi kuanza tunaomba muweke wazi mapema kabisa kua msimu huu mnapambania ubingwa au fezi foo bado haijaisha?
Hatutaki yale mambo ya kubadilishiwa gia angani na kina Mc Masingeli tutapofika mwisho wa msimu.
Tunachofurahi Sasa mnatuweka nafas za kugombea ubingwa