Kama Mkorea anavyowaambiaga, wataita maji mma.
Huku Ramsdale, huku Raya. Teta ball itaua watu. Na hivi Kuna 5 subs...umeshawahi kuona kipa anaingia sub?
Sasa tutakuwa tunamuanzisha Ramsdale wakati mpinzani ana nguvu tunapiga pass zetu fupi to play out from the back na kubuild up taratibu na kufunga magoli machache.
Baadae tunamleta Raya Mzee wa long distance distribution wakati timu zinajitahidi kutushambulia Ili angalau wapate kigoli Cha kufutia machozi. Hapo ndo wanajichanganya, Raya anapokea pasi au anadaka Kona anapiga quality long ball yake yenye ideal projectile na mpira haukawii angani. Projectile moja Kwa Martinelli au Saka wakiwa wametanua uwanja na kutoka nduki kuelekea golini na mabeki washachoka....
Wapinzani tunawahurumia sana