Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Kwa ushauri wangu Westham wasikubali kulipa zaidi ya £5m kwa Maguire, lakini inawezekana Westham wanamtaka Maguire sio kumchezesha kama beki, huenda wakamuweka mbele akawa stricker maana ukimfatilia vizuri Maguire ana uLukaku ndani yake.Assume wewe ndio football director wa westaham kwa Harry Maguire una bid kwa shilingap?
Acheni utapeli nyumbuz hasira zenu za kupigwa msitafute na nyie wakumpiga[emoji1]