Kudus it's like kaikataa Brighton ,japo Brighton na Ajax wamekubalina Bei ,
Lolote linaweza kutokea maana Edu na Arteta wanataka mchezaji awe committed kuichezea Arsenal kabla hawajaingia mazima kumsajili aoneshe nia kweli anapenda kuja Arsenal
Tumeona kwa Timber ,Rice ,Kai ,na Sasa Raya
Spurs walikataliwa £35-40m
Lakin sababu Raya ameonesha Nia kweli ya kuja , dau limeshuka Hadi £28-30m
So Kama kweli walifanya juhudi za dhati kwa kudus ,tutegemee BOMB kwa David Ornstein muda wowote
Maana Chelsea it's like kahamishia nguvu kwa Olise