hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Unabishana na UefaSawa lakini tukubaliane mapema kabisa kua Sinia sio kombo na wala FA wenyewe hilo sinia waliowapea hua hawalihesabii kama ni kombe.
TAHADHARI:
Shabiki yoyote wa Arsenyo ukiulizwa msimu huu mmebeba kombe gani?
Usithubutu kusema tumebeba kombe la community shield.
Kombe litabaki kua kombe na Ngao itaendelea kua Ngao.