Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

15 points clearly
IMG-20230807-WA0032.jpg
 
Bado hujanielewa tena...unazidi kukurupuka....anyway basi wacha tuende kwa level ya uelewa wako...sawa sisi hatuna makombe ndo maana hatuna vurugu basi tufanye hvyo mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]

Kwani mkuu arsenal nyie mna kombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi unajua toka 2004 ni almost 20 years ushangiliaji ni tofauti kabisa wa sasa na kipindi icho cha kina viera na lauren maya huko na kina pascal cygan unaongelea makombe ya 2 decades nyuma [emoji23][emoji23] mzee. Miaka 20 unaichukuliaje ?
 
Nyny Newcastle mmechukua lini mara ya mwsho kwni maana naona unataka tuanze kuongelea historia sasa
Kwani mkuu arsenal nyie mna kombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi unajua toka 2004 ni almost 20 years ushangiliaji ni tofauti kabisa wa sasa na kipindi icho cha kina viera na lauren maya huko na kina pascal cygan unaongelea makombe ya 2 decades nyuma [emoji23][emoji23] mzee. Miaka 20 unaichukuliaje ?
 
Arsenal pressing structure/adaptation against Man City:

  • flat 4-4-2 low/mid block
  • Havertz force GK to one side, wingers narrow
  • Rice push high/Odegaard cover shadow pivot
  • Partey screen between the lines

Restrict central access and block wide zone.

Ukitaka kujua tactics,how havertz ni master wa kupress,pitia video hii taratibu

[emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]

Kwani mkuu arsenal nyie mna kombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi unajua toka 2004 ni almost 20 years ushangiliaji ni tofauti kabisa wa sasa na kipindi icho cha kina viera na lauren maya huko na kina pascal cygan unaongelea makombe ya 2 decades nyuma [emoji23][emoji23] mzee. Miaka 20 unaichukuliaje ?
Mwanangu Labyrinth 84 wewe Asenyo unaijua nje ndani ndio maana hii misukule inakuchukia kinyama, yaani bora hata sisi wa Unyumbuni kidogo tunapendwa.
Labyrinth usije ukathubutu kukaa meza moja na mashabiki wa Arsenyo kisha ukanyanyuka na kuwaachia glass ya maji ukaenda msalani, na ukienda kibanda umiza usikubali kukaribishwa kinywaji chochote na haya maArsenyau.
 
Elneny amebadilishiwa majukumu au maana yy haponagi....anakula hela ya bure tu hyu muhuni[emoji28][emoji28][emoji28]
Elneny ni mchezaji muaminifu kwa klabu amekuwa halalamik hata anapokosa nafas ,ni mtu muhimu dressing room ,

Anasomea ukocha ,field anafanyia kwa academy,
 
Yanakuja yote hayo,Tuanze na hili sasaView attachment 2711646
Tatizo mpira mnaangalia juu juu ,mpira una Siri nyingi

Angalia hapa chini jinsi Kai alivyokuwa ana press Kwa akili ya Hali ya juu,

Kai anahitaji kuboresha Ball stricking tu

Vitu Kama hivi lukazigo hawez kufanya maisha

[emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]

Similar Discussions

Back
Top Bottom