hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
[emoji599]Ofa ya ada kwa Balogun ya euro 30m na nyongeza za milioni 5 na asilimia kubwa ya mauzo kwa kipengele cha Arsenal kuwasili wiki hii.
[emoji599]Hata hivyo Arsenal itamuuza kwa dau la juu zaidi na Lens pia wanamtaka mchezaji huyo.
[emoji599]Hata hivyo Balogun anataka kwenda Inter.
[emoji837][emoji836]
(@Gazzetta_it )
[emoji599]Hata hivyo Arsenal itamuuza kwa dau la juu zaidi na Lens pia wanamtaka mchezaji huyo.
[emoji599]Hata hivyo Balogun anataka kwenda Inter.
[emoji837][emoji836]
(@Gazzetta_it )