allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,331
- 10,957
Arsenal fans bwana Kwaiyo mmesaau kuwa hata msimu wa 2020 mlimfunga man City kwenye ngao ya jamii icho sio kipimo Cha nyinyi kufanya vizuri kabisa.Liverpool anamjulia sana tu City na anamfunga mara kibao. Kwake halikuwa jambo jipya. Sisi tunamuona City kama kikwazo pekee kwetu kubeba ligi na ametusumbua miaka nenda rudi. Tunachukulia kila tunapomfunga, haswa Kwa style yetu ya uchezaji kama ishara kuwa tunaanza kumkaribia na kummudu. Huu ushindi kwetu ni 'symbolic' zaidi naona
Nyie kipimo chenu ni ligi kuanza tu tutajua Wenger orphans ni ile ile au Kuna Jambo jipya.