Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Ndio matumizi yenyewe mabaya ninayo kuambia, hapo Wembley kwa timu zinazojilewa wameshakabidhiwa makombe ya Uefa na Europa.Sasa huo Wembley yanachezwa hasa makombe gani Kama sio domestic cups
FA,FA COMMUNITY SHIELD,CARABAO
Na msimu huu 2023/2024 Uefa final inapigwa hapohapo Wembley ambapo nyinyi mnapanajisi kwa vikombe vyenu vya mbuzi na hizo ngao.