Naposema upungufu wa akili ndo huu sasa!! Unategemea kuna timu ya kushinda game zoooooote duniani??? Ivi kwa unavyoona hao unaowataja wanauwezo wa kucheza na sisi na wakatufanya unavyowaza et 5? Hahaha kweli chuki ni mbaya sana hao unaowataja wamebaki majina ya timu tu ila kiuhalisia hakunamo timu ya kututisha hapo. Timu pekee ya kututisha sisi tukienda uwanjani ni City ya pep tu wala sio izo timu zenu zilizochoka.
Chuki zimewajaa Hadi huruma ,
Wamepiga ramli Jana zimegoma ,chuki ndio zimezidi Mara Mia
Yaan mtu anamtaja PSG [emoji1787]. .
Barcelona tulimuonjesha kidogo ,Xavi akalia
Ndio maaana daily nasema watu wanabwabwaja hawaangalii timu nyingine ,mtu mpaka leo anaamini Baryen ,Madrid ,Barcelona zinatisha , ndio Maana last season Mancity aliwabonda huko UCL hakuwa na mpinzani
Hizo timu zimechoka na tunazifatilia kwa ukaribu Sana Kama baryen wanahaha wampate Kane angalau warud kwenye ubora , Madrid bila kumpata mbappe ni wakawaida , Barcelona ndio huyo ilikuwa tumfumue Goli 7
Timu ya kusumbua ni city ambaye Jana tumegawana vipindi
Huwa nacheka Sana mtu anawataja Baryen, Barcelona akidhan ni zile zile za miaka 10 iliyopita