Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Tatizo lenu hua hampendi kabisa kusikia ukweli, mtapindishapindisha maneno ili mradi tu mjipee false hopes.Liverpool alijaza wazee kikos kizima ,ni wajinga tu waliokuwa wanaamini Liverpool angepigania ubingwa na Midfielders ina jumla ya umri miaka 130
Haya nitajie timu yoyote ndani ya misimu 10 iliyopita ya ligi alibeba hilo ngao la hisani halafu akafanikiwa kuchukua kombe la ligi?
Mancity jana walikua wanawategea muingie cha kike na nyie mlivyo na akili nyingi mkaingia kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]