hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,285
- 26,685
Flano acha hizo, Ila kile kikarabao energy drink ndio cup, why hamjaalikwa Wembley kama kile ni kikombeNdio maana inaitwa community shield sio community cup ndugu yangu Masingeli.
Flano acha hizo, Ila kile kikarabao energy drink ndio cup, why hamjaalikwa Wembley kama kile ni kikombeNdio maana inaitwa community shield sio community cup ndugu yangu Masingeli.
Kunya anye kuku mkuu akinya bata kaharisha. Kwao wao kombe kwetu gunners tukishinda sinia kitukoMkishinda nyie ni makombe ,Tukishinda Arsenal sio makombe
Niwekee mataji ya Erevedise na Bundesliga hapa
View attachment 2710868View attachment 2710869
Haiwezi kua kweli.Huyu injury prone Kama ni kweli Bora imekataliwa
| Arsenal make a very big offer to FC Barcelona for Ansu Fati, but he rejected it immediately. He will stay at the club.
@sanantheone
Alitabiriwa makubwa SanaHaiwezi kua kweli.
Huyu Fati wakati anaanza mpira Barca ikaweka release clause 1B
Dogo mwenyewe ni mweupe kimpira sijapata kuona. Kwa alioanza nao sasa hivi wanatia mchango lwenye timu zao
Flano acha hizo, Ila kile kikarabao energy drink ndio cup, why hamjaalikwa Wembley kama kile ni kikombeView attachment 2710885


ndugu yangu masingeli mbona unakua mgumu sana kuelewa? Injury prone wakutisha ,mim sijawahi mkubali ,Kuna huyu na Ferran Torres ,Haiwezi kua kweli.
Huyu Fati wakati anaanza mpira Barca ikaweka release clause 1B
Dogo mwenyewe ni mweupe kimpira sijapata kuona. Kwa alioanza nao sasa hivi wanatia mchango lwenye timu zao
Haya nakupa mkeka weka pesa upate pesa ya bia wiki ijayondugu yangu masingeli mbona unakua mgumu sana kuelewa?
Haya soma mwenyewe hapo uone nani amepewa kombe na nani amekabidhiwa ngao. View attachment 2710890View attachment 2710891



Tena huyo Pep alishangilia sanaWalipoanza kufunga goli wao alishangilia kama kashinda kombe la Dunia...Maneno ya mkosaji hayo....Guardiola ni attention seeker....mwaka huu unganeni naye tena kutuombea njaa....na asijidanganye tukafungua gepu la point nane kama mwaka jana....shughuli yake itakuwa imeishia hapo
Liverpool anamjulia sana tu City na anamfunga mara kibao. Kwake halikuwa jambo jipya. Sisi tunamuona City kama kikwazo pekee kwetu kubeba ligi na ametusumbua miaka nenda rudi. Tunachukulia kila tunapomfunga, haswa Kwa style yetu ya uchezaji kama ishara kuwa tunaanza kumkaribia na kummudu. Huu ushindi kwetu ni 'symbolic' zaidi naonaMsimu ulioisha Liverpool alishinda hilo sinia na kwa kutambua kua hilo ni kama bonanza tu la kufunguliwa kwa pazia la ligi wala hata hawakushangilia, sanasana waliishia kusikitika tu kwa kujua baada ya kupewa hilo sinia litawapata jambo na kweli limewapata.
Hivi kwani sisi na nyinyi lini, naona kama kelele zimekua nyingi humu.
Uganda mashabiki wa Arsenyo wameandamana tena kusherehekea timu yao kubeba ngao ya hisani![]()
Hata bila injury dogo siyo mtamuInjury prone wakutisha ,mim sijawahi mkubali ,Kuna huyu na Ferran Torres ,
Pale Madrid nasubiri Jude nihakikishe wanachosema watu, namuona very overrated
Bora Pepe aiseeHuyu injury prone Kama ni kweli Bora imekataliwa
| Arsenal make a very big offer to FC Barcelona for Ansu Fati, but he rejected it immediately. He will stay at the club.
@sanantheone
Kwa hio kumbe hamshangilii kubeba Ngao, mnachoshangilia ni kudraw na mliMan City?Liverpool anamjulia sana tu City na anamfunga mara kibao. Kwake halikuwa jambo jipya. Sisi tunamuona City kama kikwazo pekee kwetu kubeba ligi na ametusumbua miaka nenda rudi. Tunachukulia kila tunapomfunga, haswa Kwa style yetu ya uchezaji kama ishara kuwa tunaanza kumkaribia na kummudu. Huu ushindi kwetu ni 'symbolic' zaidi naona
Mimi na bia mbalimbali tena kamari za mikeka ndio kabisaaaa, naonaga tu hio minamba namba lakini sijui hata hua inafanyaje kazi na wala sitaki hata kujuaHaya nakupa mkeka weka pesa upate pesa ya bia wiki ijayo
Jamvi la kumkaribisha muhindi.
Man city
Arsenal
Brighton
Westham over 1.5
Everton over 1.5
Newcastle over 1.5
Spurs over 1.5
Manjesta DRAW
Ukichanika huu niulizwe mimi



Na huyu alikuwa anashangilia Nini hapaKwa hio kumbe hamshangilii kubeba Ngao, mnachoshangilia ni kudraw na mliMan City? View attachment 2710963
Hapo Pep hakua anashangilia ushindi wa kuchukua Ngao, bali hapo Le professeur Peperoni Guardiola alikua anafurahia goli maridadi kabisa lililofungwa kiustadi na kijana wake Cole Jermaine Palmer.Na huyu alikuwa anashangilia Nini hapaView attachment 2710966View attachment 2710967
Wewe jamaa muhuni Sana ,Hapo Pep hakua anashangilia ushindi wa kuchukua Ngao, bali hapo Le professeur Peperoni Guardiola alikua anafurahia goli maridadi kabisa lililofungwa kiustadi na kijana wake Cole Jermaine Palmer.