hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Nakubaliana na wewe mkuu, yaani tuwaombee wawe vzr ili iweje?Kipindi wanatufunga sisi tukiwa dhaifu mbona wao walikuwa hawaombei tuwe strong.....Ubaya Ubaya tu...Kama waarabu wanamtaka Salah wamchukue haraka sana ..ikiwezekana Salah agome alazimishe kuondoka...Manyumbu yabaki hvihvi yasipate wachezaji wengine wa maana .....Chelsea wabaki na kikundi Chao cha ma Rasta hivihivi...Man City De Bruyne aumie mwaka mzima...ikiwezekana na Rodri naye aumie mda mrefu...
Kutwa wanatupiga mawe humu ,ubaya ubaya tu,
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga


️ |
Balogun Wants Inter Move.


