hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Ingekuwa zaman wangeongeza dk 4 basiJuzi tu hapa nilisema ukipoteza muda
Zinaongezwa dakika 10
Sub anatoka Martinell anaingia Troussad
Unapigiwa msako wa unatoa au hutoi lazima utoe tu na ndo kilichotokea leo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]