hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Muda ulipotea ,na kwenye dakika 8 za nyongeza ,Partey na Mchezaji wa city waliumia ,zikaongezwa TenaNaomba kufahamishwa kw nini dk ziliongezwa 8 na mchezo haukusimama hata mara moja, na halafu mbona game limeenda dk. 100+
Nimeipenda hii Sheria kwa zile timu zinazopoteza muda Kama Newcastle ,Everton, manjesta Wana tabia hiyo ukiwapiga mbinyo ,wakaona Kuna upenyo wa sare


| Declan Rice on winning the Community Shield:
BREAKING