Maoni yangu kuhusu hii mechi.
Ili kumfunga man city mpelekee mpira kwenye goli lake hata kama ni kwa kuushika just send it.
Arsenal hii ni bora ila inahitaji msaada sana wa kisaikolojia katika kuhandle presha za big match na decisive maches
Aliyetaka partey auzwe atafutwe na ashtakiwe kwa uhujumu.kiukweli kuna muda huwa najiuliza what if partey angekuwa city na akazungukwa na ile quality?
Odegard ajitazame kama captain, kwenye baadhi ya big match humuoni akikupa msaada unaohitaji.
We need a striker,a natural striker hata kama hawapo sokoni lakini tunamhitaji.option ya vilahovic ilikuwepo ila.... bila mshambuliaji wa kueleweka tunaweza kufika tumechoka au tukafia njiani.
G.maghaless anazingua na kocha inabidi amtazame au ampe bench kidogo.
Transitional football against city kwangu mimi naona ni suruhisho.cheza directly kuelekea golini.ukipoteza mpira fanya pressing .liverpool wanalijua hili na ndo maana city anachapikaga.
Kama tunataka kuendelea na hii possession football basi tunahitaji kiungo driver anayeweza kubeba mpira toka phase hii ya uwanja mpaka phase ile.hatuna proper ball carrier ambaye ni driver.kidogo trossard.Ila mwangalie bernaldo ndo utajua kwanini barca na psg wameleta hela na wakaambiwa hauzwi.