hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Kai Leo kakosa magoli but sio Big chances ,tuwe wakweli tuondoe negativityWapo but another option ni Trossard not Kai atatuchelewesha
Kwa wachambuzi hata ulaya huko wanamsfia Sana Kai alivyocheza vzr leo, ni humu tu Jf ndio nakuta negativity kuhusu Kai ,
Kacheza kwa usahihi Sana false 9 , hasa kwenye ku press,
Aongeze ball stricking yake tu
Ma CF wachache mkuu, sio kwamba manjesta wamependa kutoa €85m kwa Hojlund mwenye goli 9 au PSG kutoa €80m kwa Goncalo mwenye goli 19 Ligi ya 6 ulaya

.