Huyu toobiter hua namkubali sana hana baya na mtu, ni miongoni mwa mashabiki wachache sana wa Arsenyo wenye uwezo wa kubalance mapenzi ya timu na uhalisia wa mchezo wa mpira wa miguu.Safi sana haya ndiyo maneno ya Mshabiki wa mpira sasa. 50 50 au siyo[emoji23][emoji23]
Na ndio maana arteta anatumia leo 4-2-3-1 hio system huwa ni yakuvizia na kupiga mtu ...aka transitional progressive and defensive counter attack football philosophyMaoni yangu style of play na Manchester city:
1. Achana naye. Kaa nyuma, vizia counter kama wananjanjajana orijino manyumbu.
2. Komaa naye. Kama unataka kuwa the best katika possession based football na Kuna mpinzani wako Bora kuliko wewe, basi pambana mpaka umfikie level yake na umpite.
Sasa tuamue tu kukomaa mpaka kieleweke au tusijisumbue Kwa City mpaka Pep aondoke?
Hakika kitawaramba leo[emoji16][emoji16]Picha za baadae zimeanza kuvujaView attachment 2709746
Baadae Ila usikimbie hapa maana tumekuzoea.Most valuable squad in the world inacheza leo
Chukua kina manjesta,namungo, Kitayosye, Gwambina , Chelsea ,Mancity, Barcelona ,n.k
Ambaye squad yake ina gharama anacheza Leo pale Wembley
Wewe mwenyewe Arsenal ikishinda huonekani humuBaadae Ila usikimbie hapa maana tumekuzoea.
Weka prediction yako leo
Mimi yangu
Wenger orphans 0 vs Manchester City 2
Tukishinda hamuonekani humuHakika kitawaramba leo[emoji16][emoji16]View attachment 2710160
Sisi tupogi hapa kila siku leo ndo tutajua arsenyani kondoo au.Tukishinda hamuonekani humu
Tukifungwa mnaonekana mnasema sisi hatuonekani
Subutuuuuu navyoona watajiovalodi wenyewe😂😂😂....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwanangu toobiter mechi ya ngao ni saa ngapi?
Nataka nishuhudie Teta ball burudani kwa wote, mambo ya pressing na overloading from genius Masterclass.
Huyu toobiter hua namkubali sana hana baya na mtu, ni miongoni mwa mashabiki wachache sana wa Arsenyo wenye uwezo wa kubalance mapenzi ya timu na uhalisia wa mchezo wa mpira wa miguu.