Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama kweli Arteta anamtaka kudus Basi tunaweza mpata ,kwa ku match ofa otherwise Kuna target nyingine
IMG-20230805-WA0063.jpg
 
Mkuu RW back up ni Reiss Nelson...hli ndo naloliona...sioni mtu mwingine tukimnyatia
Mimi nipo happy na Nelson ,shida yake injury
Au January tutarud kusaka RW, maana saka nae sio wakuuumia ila anahitaji kupumzika
 
Kwann mzee baba unataka niseme tunafungwa ndio roho yako ifurahi

Sisi tunaingia kushindana ,Mambo mengine yanatokea tu bahati mbaya
Yaani una miaka zaidi ya 10 hata draw haujawahi kupata kwa City kila siku unachezea vipigo tu halafu unasema bahati mbaya?
Hivi Masingeli unaijua maana ya bahati mbaya kweli wewe?
 
Yaani una miaka zaidi ya 10 hata draw haujawahi kupata kwa City kila siku unachezea vipigo tu halafu unasema bahati mbaya?
Hivi Masingeli unaijua maana ya bahati mbaya kweli wewe?
Huyo Mc anajielewa yeye na kondoo wake tu, sisi hawa kondoo hatuwezi kuwaelewa,ngoja akifungwa atarud hapa na visingizio kibaaooo
 
“Fitness is good. I’d love to be ready for tomorrow, but I don’t know yet it’s up to the manager.”

Oleksandr Zinchenko on playing against Manchester City in the Community Shield.
 
Yaani una miaka zaidi ya 10 hata draw haujawahi kupata kwa City kila siku unachezea vipigo tu halafu unasema bahati mbaya?
Hivi Masingeli unaijua maana ya bahati mbaya kweli wewe?
Nimechukua FA 2019 nimempiga huyo bwana wenu City ,

Nyie subirieni Ligi ianze mumshabikie ,maana sioni manjesta akienda mbali kwa sajili hizi za mchongo za kina mount ,hojuland mliyetapeliwa
 
Huyo Mc anajielewa yeye na kondoo wake tu, sisi hawa kondoo hatuwezi kuwaelewa,ngoja akifungwa atarud hapa na visingizio kibaaooo
Mlipotaka kushuka daraja ,visingizio ilikuwa nn

Na msimu huu Siwaoni top 6
 
Most valuable squad in the world inacheza leo

Chukua kina manjesta,namungo, Kitayosye, Gwambina , Chelsea ,Mancity, Barcelona ,n.k

Ambaye squad yake ina gharama anacheza Leo pale Wembley
 
Back
Top Bottom