Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Sasa naona timu ndio inarudi kwenye mpira, Naanza kuona matumaini.
Hii ndio arsenal niijuayo
Hii ndio arsenal niijuayo
Akili ndogo anapiga tuMnaelewa nikisema Kai hana finishing?
Ile namtetea aisee, si zimeokolewaMnaelewa nikisema Kai hana finishing?
Mnaelewa nikisema Kai hana finishing?
Hakika anaonesha kituHavertz kacheza vzr ,ana press vzr Sana
Arsenal hawez kucheza kaunta , angalia tunavyo pressTulisema humu lazima arsenal acheze kwa counter attack
Akilzamisha possession atatiwa aibu
Na ndokinachotokea hapa
Havertz kacheza vzr ,ana press vzr Sana
Vipi mkuu unaonaje mnatoka hapa.Timber hatari asee
Anakaba hatari
Finishing mbovu vp wakati kipa kaokoaMnaelewa nikisema Kai hana finishing?
Nimeona kwa timu hii msimu huu Kaz wanayo,Sasa naona timu ndio inarudi kwenye mpira, Naanza kuona matumaini.
Hii ndio arsenal niijuayo