hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Wewe timu yako unasema inaenda kugombea ubingwa tufanye analysis ya kikosiWewe hata ungetaja maDM gani ,
Timu yako ni Midtable team.
Huna UEFA, huna hata hiyo futuhi cup(EUROPA). Yaani kabati la Arsenal limejaa Domestic cup tu[emoji1].
View attachment 2709853
Mm naamin Astonvilla, manjesta Wana squad Bora kuliko nyie kuku
nitajie Sasa DM katika timu yako ni Nani,
Arsenal tuna Partey ,Rice , Jorginho Kama 3rd choice na anaubonda vzr tu
Nitajie Asipokuwepo Salah Nan anawabeba ,