Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nipandwe na sukari kwa timu yenye wachezaji kama LOKONGA, GABRIEL(KICHWA CHA BATA), PARTEY(MIGUU YA BISKUTI)
Naona unaongea pumba ,ngoja nikupuuze nikuchukulie Kama mgonjwa wa akili

Hasira za timu yako kushindwa kusajili usizimalizie huku ,

Tunavyojadili usajili na timu yetu unaumia Sana

Rasmi nakuchukulia Kama mgonjwa wa akili au mwenye Sonoma , nakupuuza
 
Mason Mount jana niliona alicheza nafasi ya Eriksen nadhani...bdo hajazoea timu na uzito wa jezi nao unamkwamisha kdgo ila naamini atakuwa na msimu mzuri kuliko Antony masebene....mtoto wa Kiingereza yule ana roho ya paka
Wampe muda mbona huyu freemason ni scholes mpya
 
Hakuna mtu wakumkimbia Jf humu ,Mimi nimeishi na wahuni ,nimeishi misheni kwa mapadri pia ,huwa nawaacha mtoe nyongo zenu na matusi ,

Safari hii nakula sahan moja na wahuni wote , maana kuishi na wehu tunaweza
Piga spana hawa kuku wa maziwa hasa man u ya 7hag
 
Kwao kumepoa mkuu usimlaumu.hatujabeba epl for 20years ila jukwaa lipo juuu.ndo maana mkuu Flano anaombea tusibebe ubingwa maana mitaa na majukwaa yatapata shida.
We know how to enjoy every moment of the game
Hata Twitter , fan base zinazosumbuana Sana ni manjesta vs Arsenal

Ndio maana hata ile friend match ,kocha wa manjesta alisema sio Friend match

Hawa wengine wanakuja humu kulazimisha fujo tu ,hasa hivi wanavyoona tunaimarika na wao wanashuka kama Liverpool ili wafanye sajil za maana mpaka wauze mchezaji kwa Bei kubwa ,Sera yao UZA NUNUA , Sasa walizoea kusema Arsenal wabahili, wanapoona tunaspend ,lazima wahofie maana top 4 inazidi kuwa ngumu kwao
 
Naona unaongea pumba ,ngoja nikupuuze nikuchukulie Kama mgonjwa wa akili

Hasira za timu yako kushindwa kusajili usizimalizie huku ,

Tunavyojadili usajili na timu yetu unaumia Sana

Rasmi nakuchukulia Kama mgonjwa wa akili au mwenye Sonoma , nakupuuza
Huna timu Baba, Huna team.
Unakaa unajaza ujinga wenzako humu na kuwadanganya mapopoma wenzako wa Asenyo. Ooh mara Kai sijui kafanyaje...... huyu Kai anaekimbia kama kapigwa jeki.
 
Hakuna biashara ngumu Kama kufanya na timu za Italy

Inter Milan sold Onana for €55m, A Goalkeeper they got for free last year, then they will come begging Arsenal with €25m for Balogun

I cannot stand Serie A clubs
 
Hizi ramli sasa we bado kijana achana na kazi ya uganga
Hana hoja anataka tushindane ujinga, wakati tuna mambo muhimu ya timu yetu kujadili

Kuna usajili wa Raya upo karibun kukamilika

Kuna usajili wa RW ,na Beki

Kuna dalili tukaspend £300m

Madirisha mengine tutakuwa tunasajili mchezaji mmoja au wawili tu
 
Hakuna biashara ngumu Kama kufanya na timu za Italy

Inter Milan sold Onana for €55m, A Goalkeeper they got for free last year, then they will come begging Arsenal with €25m for Balogun

I cannot stand Serie A clubs
Wajinga sana...kwa Lukaku walivyoona tu wenzao Juve nao wameingia ulingoni wakanuna....Sasa sijui wanadhani kwa miaka hii wacheza wa buku jero utapata wapi
 
Kuna kitu ulizungumza juzi kuhusu Rice

| Gary Lineker: “A lot of players who move for big money struggle to cope with their price tag but I don’t think that’ll be the case with ex-West Ham skipper Declan Rice.

“He is an exceptional player — a holding midfielder but also far more than that. Rice is a real leader, who will run all day, a player who can break the lines and make things happen with the ball at his feet.

“Of course, £105million is a massive fee but he will not have the same pressure as a forward player who moves for big money because they are constantly judged on their scoring record.

“I’d like to see Rice add more goals to his game but nobody is expecting that of him.” [@TheSunFootball] #afc
Mkuu usipost haya mambo hujui Flano anataka na rice awe kama sancho au wighorst mzee wa mikimbio mizuri.?jamaa mimi nampa mwaka kabisa najua atapafomu tuu
 
mechi zenu nane(8) zilizopita dhidi ya Manchester city ,, Zote amewagonga , hamjaambulia hata Draw.... nasemaje hata draw.

Leo mkapunguze idadi ya magoli kwa beki ya GABRIEL(kichwa cha bata)
 
Back
Top Bottom