hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Nitajie DM wako anayemzidi JorginhoLuxury DM jorginho???
Na timu lilivyo la kipuuzi kila mwaka linapewa matapishi ya CHELSEA.
Hii timu ndio maana hata ufalme wa London imenyang'anywa na RENT BOYS wa Darajani , Sababu ya vichwa bata kama nyie.
Taja
Mimi kwangu Jorginho ni 3rd choice
Sasa wewe taja DM wako anayemzidi 3rd choice kwetu