Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game za pre-season zinakutia ulevi
Timu hujaboresha kitu tofaut na last season

Tuliwaambia mmejaza wazee ohoo tunagombea ubingwa ,Kiko wapi

Hata £50m kwa Lavia inawashinda ,unakuja kubwabwaja humu
 
Wewe UEFA unaenda kutalii tu.
Hata 1/4 huwezi toboa. Kama kina sporting walikukamua ije kuwa kina PSG huko na Kina Bayern.
Timu yako yenye quality umeboresha Nini tofaut na mwaka Jana?

Mbona Kama ndio mbovu zaidi

Mwaka jana ulitamba tukasema mmejaza wazee

Europa imewaita

Msimu huu Astonvilla anawatoeni hapo namba 6
 
Wewe UEFA unaenda kutalii tu.
Hata 1/4 huwezi toboa. Kama kina sporting walikukamua ije kuwa kina PSG huko na Kina Bayern.
Wewe kazi ya kupiga ramli huiwezi ,mwaka Jana ilikushinda ,ulisema mnagombea ubingwa

Mkaishia kugombea nafas ya Europa

Kazi ya uganga acha nayo
 
|| Crystal Palace have had approaches for both Eddie Nketiah and Folarin Balogun, rebuffed by Arsenal with no encouragement for the two forwards [Via - @ReluctantNicko].
 
Wewe UEFA unaenda kutalii tu.
Hata 1/4 huwezi toboa. Kama kina sporting walikukamua ije kuwa kina PSG huko na Kina Bayern.
Ni kwli kabisa Sporting alitutoa mkuu....ila safari hii tunaelekea kwny mashindano makubwa zaidi kucheza na timu kubwa zaidi...Vp nyny mkuu...ndo mmeshaanza kuchukua nafasi yetu huko chini kwny nafasi za nane na kuendelea....maana sioni Zobolai sijui na makalista wakiwapa ubingwa
 
|| Crystal Palace have had approaches for both Eddie Nketiah and Folarin Balogun, rebuffed by Arsenal with no encouragement for the two forwards [Via - @ReluctantNicko].
Why???....au wachezaji ndo wamewakataa jamaa...bidding war ni nzuri kwa Balogun kupata hela zaidi...we need a good RW backup
 
Mkuu mda mrefu sana...wale jamaa wanatutesa kweli....
Jamaa zako hawataki kukubalj ukweli .
Kigezo cha kuwa bingwa wa EPL kwasasa ni kuhakikisha unaenda toe to toe dhidi ya man city. Arsenal bado haina uwezo wa kuichallange city na sio City tu even Liverpool na sio Liverpool tu even Manchester united.
Watu waache kuwa na false hope humu eti uchukue EPL na beki ya Gabriel na DM ya partey (trip shamba trip garage)
 
Attachments

  • Screenshot_20230806_101316_Chrome.jpg
    Screenshot_20230806_101316_Chrome.jpg
    54 KB · Views: 3
Why???....au wachezaji ndo wamewakataa jamaa...bidding war ni nzuri kwa Balogun kupata hela zaidi...we need a good RW backup
Wameleta pesa ndogo hao jamaa inaonekana ,balogun anauzwa , Eddie anabaki
 
Ni kwli kabisa Sporting alitutoa mkuu....ila safari hii tunaelekea kwny mashindano makubwa zaidi kucheza na timu kubwa zaidi...Vp nyny mkuu...ndo mmeshaanza kuchukua nafasi yetu huko chini kwny nafasi za nane na kuendelea....maana sioni Zobolai sijui na makalista wakiwapa ubingwa
Yah LFC bado haijaimarika.
Ila Arsenal bado kuimarika zaidi ya LFC.
Ndio maana nasema Arsenal haiwezi kumaliza juu ya LFC msimu huu wa 23/24.
 
| @FabrizioRomano:

“Inter Milan will approach Arsenal next week to restart negotiations for Folarin Balogun.

“The Italian club plan to do this by including add-ons into the package. Balogun is tempted by a move to Inter so it's on the clubs now.

“There's a specific round of talks already scheduled at the beginning of next week.” [@caughtoffside]
 
Back
Top Bottom