Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili Ni pigo kubwa Sana kwa Timmy yetu.
Sio pigo ,Kuna wiki 1 kabla ya Ligi ,Kuna wiki 2 za international break September ,jumla karibu wiki 3 out of 5-6

Tuna option ya Kai , Trosaard na nketiah

Jesus atakosa mechi maximum 4
 
Exclusive: [emoji599][emoji599]

Inter have returned strongly to sign Folarin Balogun. Talks with Arsenal have intensified in recent hours and Inter are now optimistic of striking an agreement for a fee in the region of €35m+ 15 add ons

[emoji836][emoji837]
[@AlfredoPedulla]
 
15 add ons ni nyng sana....inatakiwa iwe walau 42 na 8 add ons...maana hzi add ons si hela za kuhesabia....zinaweza zipatikane au zisipatikane
 
Kweli asee ,nasikia Arsenal wanaona Bora hela iwe ya kawaida ila kiwekwe kipengere Cha sale % au buy back clause , usishagae mwakan akifanya vzr , akauzwa manjesta kwa €100m
 
Upo sahihi ,sawa na Mimi ,yaani ilifika muda Zinny hayupo siangalii mechi huyo ndiye most talented player ,most Gifted player kuliko wengi

Kuna mechi unaona kabisa wachezaji wame give up , huwa anafanya maamuz magumu ana invert Kama DM, AM ,LW

Angalia hapa data zake ,View attachment 2708516
Kabisa mkuu kuna mechi akianza siku yule na timber kwny RB na LB halafu kati kukawa na Partey na Rice na Odegaard..winger Trossard na Saka....kuna timu zitamaliza mechi zimepiga pasi 50 full time
 
Kweli asee ,nasikia Arsenal wanaona Bora hela iwe ya kawaida ila kiwekwe kipengere Cha sale % au buy back clause , usishagae mwakan akifanya vzr , akauzwa manjesta kwa €100m
Hii nayo ni option nzuri...wao kama wanataka mchezaji wafuatane na sisi tunachotaka....ize ty
 
Kabisa mkuu kuna mechi akianza siku yule na timber kwny RB na LB halafu kati kukawa na Partey na Rice na Odegaard..winger Trossard na Saka....kuna timu zitamaliza mechi zimepiga pasi 50 full time
[emoji1787][emoji1787] unakumbuka ile mech pale Emirates vs manjesta , Jamaa waliingia Mara 13 tu kwenye box la Arsenal , wakati saka na nelli waliingia Mara 65 Kama sikosei

Ile mechi Zinny alikuwa ana drive timu mbele had nikaona muda manjesta wamerud nyuma wanatafuta sare , [emoji1787]

Kuna ile mech pale Emirates vs Newcastle ,aliwapelekea Moto Sana , wakawa wanapoteza muda waondoke na sare
 
Man Utd waliingia Mara 13 tu kwenye box la Arsenal wakapata magoli mawili, wakati saka na nelli waliingia Mara 65 Kama sikosei na wakaishia kupata vigoli vitatu tu huoni kama hayo ni matumizi mabaya ya kuingia kwenye box?
Kwa hesabu za haraka haraka hapo man Utd wanahitaji kufika golini mara 6 tu ili wapate goli wakati Arsenyo inawalazimu kufika golini mara zaidi ya 25 ndio wapate kagoli kamoja.
 
Man Utd waliingia Mara 13 tu kwenye box la Arsenal wakapata magoli mawili, wakati saka na nelli waliingia Mara 65 Kama sikosei na wakaishia kupata vigoli vitatu tu huoni kama hayo ni matumizi mabaya ya kuingia golini?

Huoni kwamba Kocha wenu ni Tony pulis wa kidachi?

Degea aliyekuwa anawaweka mjini hayupo safari hii mtaeleza vzr
 
[emoji1787][emoji1787] unakumbuka ile mech pale Emirates vs manjesta , Jamaa waliingia Mara 13 tu kwenye box la Arsenal , wakati saka na nelli waliingia Mara 65 Kama sikosei

Ile mechi Zinny alikuwa ana drive timu mbele had nikaona muda manjesta wamerud nyuma wanatafuta sare , [emoji1787]

Kuna ile mech pale Emirates vs Newcastle ,aliwapelekea Moto Sana , wakawa wanapoteza muda waondoke na sare
Anacheza kwa jihadi sana msela na ndo nakiona pia kwa Timber na Rice
 
Huoni kwamba Kocha wenu ni Tony pulis wa kidachi?

Degea aliyekuwa anawaweka mjini hayupo safari hii mtaeleza vzr
De Gea alowaokoa wakapata top 4 wamemtosa..captain fantastic Magwaya alochomesha wakatolewa na Sevilla wamemng'ang'ania hawataki kumuuza...Wana akili sana Hawa....safari hii tunao mechi ya nne tu...tutam test Onana vzuri tuone

Hawa jamaa safari hii tukiwapa mbinyo ,lazima onana aachie 4+
 
Huoni kwamba Kocha wenu ni Tony pulis wa kidachi?

Degea aliyekuwa anawaweka mjini hayupo safari hii mtaeleza vzr
Mkiambiwa mashabiki wa Asenyo bado mko na utoto mwingi mnakasirika.
Sasa hapo mwenyewe unafurahia kabisa kuona timu yako inaingia kwenye goli la mpinzani wako zaidi ya mara 75 na kuishia kupata vigoli vitatu, halafu mpinzani wako anaingia mara 13 tu golini kwako na kukushona goli 2 huoni kama foward yako ni mbovu kiwango cha kutupwa?
 
Mkiambiwa mashabiki wa Asenyo bado mko na utoto mwingi mnakasirika.
Sasa hapo mwenyewe unafurahia kabisa kuona timu yako inaingia kwenye goli la mpinzani wako zaidi ya mara 75 na kuishia kupata vigoli vitatu, halafu mpinzani wako anaingia mara 13 tu golini kwako na kukushona goli 2 huoni kama foward yako ni mbovu kwa kiasi gani?
Arsenal kafunga goli 88 last season

Manjesta sijui goli 50

Nan ana forward mbovu?

Hiyo mechi mshukuru Mungu,

Subiri game ya 4 safari hii mnaanzia Emirates huku GK ni onana , 4+ bet kabisa weka hata hati ya nyumba
 
Sio pigo ,Kuna wiki 1 kabla ya Ligi ,Kuna wiki 2 za international break September ,jumla karibu wiki 3 out of 5-6

Tuna option ya Kai , Trosaard na nketiah

Jesus atakosa mechi maximum 4
Nyumbu atakufa bila ya Jesus

Baada ya game na nyumbu ni international break

Baada ya hapo Sasa Yutong inashuka mlima kitonga
 
Man Utd waliingia Mara 13 tu kwenye box la Arsenal wakapata magoli mawili, wakati saka na nelli waliingia Mara 65 Kama sikosei na wakaishia kupata vigoli vitatu tu huoni kama hayo ni matumizi mabaya ya kuingia golini?
Kwa hesabu za haraka haraka hapo man Utd wanahitaji kufika golini mara 6 tu ili wapate goli wakati Arsenyo inawalazimu kufika golini mara zaidi ya 25 ndio wapate kagoli kamoja.
Inamaana bila de gea golini mlikua mnnakufa wiki

Yan, ule Moto alafu mapepe Onana akiwa golini chuma 4 Kama mmesimama alafu mnaanza kutafutwa Sasa

Hapo Kai, trossad, Rowe Wana warm-up nje

Ipige screenshot hii[emoji115]
 
Decline rice.

Kwangu mimi siamini kama jamaa ni gifted sana technically.kama unamuangalia rice kwa perspective ya david silva,benado silva,locatell,zubimend,carzola,rosisky ,gundo kroose,camavinga nk ni rahisi kuona tumepigwa.

Hivi ushawahi kujiuliza kwanini
Liverpool wana hernderson na klop anapambana mara kadhaa kumbakisha babu milner?
Chelsea bora ilikuwa na Terry na lampard
Man city imemleta jack glealish,stones na sasa kuna foden.hawa wote technically sio wachezaji wa guardiola.

Hao wote wana sifa moja inayowaunganisha,ni waingereza.
Waingereza wanatabia ya upambanaji hasa bila kujali wanakipaji au hawana ila watapambana kupata wanachotaka.
Mwingereza anaweza asiwe bora ila akaamini yeye ni bora kuliko wewe na akakushinda.

Waingereza wanaamini kwenye hard working kuliko kipaji.they give it all to preserve their pride.na kwa timu inayohitaji kupambania mataji hii akili na tabia ni muhimu saana.guardiola aliliona akaleta waingereza and it paid.

Decline rice.mwangalie body language yake na umri wake haviendani.ana seniority body language.anaamini anastahili kilicho bora na anaamini anacho kilicho bora cha kuoffer.

Decline rice.Angalia statement zake haamini kama kuna team bora kuliko aliyopo,hakuna kocha bora kuliko anayemfundisha na kikosi chenye wachezaji bora kuliko wanaomzunguka kwa sasa. Hii inaondoa inferior feelings na inaimarisha self esteem yake.Mbishi hasa.

Check anavyohandle media na expectations zinazotokana na price tag yake, Its like I don't care.Price tag imemmaliza pepe,inamtesa mudrick na inamyoosha nunez pale Liverpool .
Mwangalie glealish,hata hakumbuki alinunuliwa kiasi gani.its none of his business anahisi alistahili.Rice ameonyesha kuhandle presha.
Mimi natarajia kumuona rice kuanzia february na hapo kila mmoja atajua thamani ya roho ya kiingereza hasa hawa WEUPE NOT BLACKS.

Mpeni muda decline rice,sio mech kadhaaa,wiki kadhaa au mwezi.mpeni muda awaaambukize tabia ya ushindi.
Umeandika na kufikiri sana, big up kwako mzee
 
Arsenal have lost 15 times in 16 consecutive meetings against Manchester City. This is not even head to head. This is bed to bed[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20230128_070952.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom