allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,322
- 10,887
Siwezi kubeti na watu wanao kimbia jukwaa.Kama unajiamini weka hati ya nyumba, na uoneshe hapa
Kama hujaja kuomba msaada wa kisheria Jf urudishiwe nyumba
Siwezi kubeti na watu wanao kimbia jukwaa.Kama unajiamini weka hati ya nyumba, na uoneshe hapa
Kama hujaja kuomba msaada wa kisheria Jf urudishiwe nyumba
Huku Turner anaelekea ForestArsenal close to striking a deal with Brentford for David Raya. Fee close to £28m. Details over add ons being discussed. #AFC
Wewe weka hati ya nyumba ,Kama hujamuomba Peter kibatara akakusaidie kukomboaSiwezi kubeti na watu wanao kimbia jukwaa.
Brentford expected to turn down opening Arsenal offer for David Raya but proposal is only slightly below what #BrentfordFC are seeking + talks continue. Both parties want deal for 27yo GK to happen & are now working on finer details @TheAthleticFC #AFCNa Balogun akiuzwa itazidi kushuka tulete RW na CF mwingine wa kuzugia pamoja naNet spend mpaka igonge 250
Arsenal’s net spend has now gone from £199.7m to £167.7m after the sales of Pablo Marí to Monza (£6m), Granit Xhaka to Leverkusen (£21m) and Auston Trusty to Sheffield United (£5m).
Flano awaambie Bayern waweke hela tuende nao bampa....maana anawapigia chapuo watamchukua🤣Brentford expected to turn down opening Arsenal offer for David Raya but proposal is only slightly below what #BrentfordFC are seeking + talks continue. Both parties want deal for 27yo GK to happen & are now working on finer details @TheAthleticFC #AFC
Nimeona kuna taarifa za Juve kurudi kwa ajili ya Thomas Partey....hawajaambiwa kwmba hatumuuzi tena au wanawashwawashwaArsenal and Brentford working for final details to strike the deal
Kwa ule Ubwabwa City walishtukia mapema kabisa kua ule ni utapeli wa mchana kweupe.Bayern hana pesa ya kushindana na Arsenal tukitaka mchezaji na yeye anayemtaka
Hizi dharau zenu mlimpamba city kwa Rice mkaweka kambi humu, tulivyotia £105m mkasambaratika
Magwaya thamani yake ni bei gani mkuu 🤣🤣🤣...maana City wamemchukua mtu kwa bei ya chini kidogo ya captain fantastic MagwayaKwa ule Ubwabwa City walishtukia mapema kabisa kua ule ni utapeli wa mchana kweupe.
Walijiingiza kwenye deal la usajili sio kwa lengo la kumuhitaji bali ni kuwakomoa na nyinyi mtoboke vizuri ili wapate kuwacheka na kuwakebehi kama mnavyowacheka wao kwa Grealish.
Wachezaji wa kiingereza wowote thamani yao kiuhalisia haitakiwi kuvuka £50 hata awe na kipaji cha aina gani.
Usiniletee habari za Jude Bellingham nao ni walewale tu.
Hiyo series nitairudika kwa mara ya nne sasa umesababisha niikumbuke 😁😁😁So what about a mountain who has played almost all games with zero effect. Last time we heard of him is from Romano.View attachment 2707138
DiMarzio tapeli ndiye Katoa hiyo habariNimeona kuna taarifa za Juve kurudi kwa ajili ya Thomas Partey....hawajaambiwa kwmba hatumuuzi tena au wanawashwawashwa
Magwaya ukuta wa Berlin CBS(center back stricker) ndio beki pekee duniani inayoongoza kwa kumfunga magoli mengi zaidi golikipa bora wa Epl David de Gea thamani yake ni £80m.Magwaya thamani yake ni bei gani mkuu...maana City wamemchukua mtu kwa bei ya chini kidogo ya captain fantastic Magwaya
🤣🤣🤣🤣🤣Magwaya ukuta wa Berlin CBS(center back stricker) ndio beki pekee duniani inayoongoza kwa kumfunga magoli mengi zaidi golikipa bora wa Epl David de Gea thamani yake ni £80m.
Msimu huu tumemuweka sokoni lakini hatumuuzi chini ya £100m
Mshkaji ni chapombe nn....maana huwa anakurupuka tu ana postDiMarzio tapeli ndiye Katoa hiyo habari
Arteta alishaweka kauli Partey hauzwi OGOPA MATAPELIMshkaji ni chapombe nn....maana huwa anakurupuka tu ana post
Moja ya series Kali Sana kuwahi kuzionaHiyo series nitairudika kwa mara ya nne sasa umesababisha niikumbuke![]()