Kuna shida kwani mkuu😀😀Wenger akaamuangalia Wenger amebeba kombe la mwisho la Epl kwa timu ya Asenyo miaka 20 iliyopita kabla ya Saka, Saliba Ordegard na Martinelli hawajazaliwa. View attachment 2708325
Jiulize Kama hakuwa serious ,why alituma ofa ya /£90m?Ivi wazee kweli city alikuwa serious na Rice au ilikuwa zuga ili sisi tu spend on that money then we limit ourself to spend to other area of the field??
Huwezi kupeleka Bid sehemu bila kuwa na uhitaji wa mchezaji husika...isipokuwa unaweza kujitoa kwenye dili kama unaona huyo mchezaji Hana thamani ya hela unayotajiwa na muuzaji....SimpleIvi wazee kweli city alikuwa serious na Rice au ilikuwa zuga ili sisi tu spend on that money then we limit ourself to spend to other area of the field??
before intrntl games epl itachezwa week ngap na hio interntl holiday itachukua wik ngapCONFIRMED: Gabriel Jesus out for 5-6 weeks
Hamna shida yoyote Mkuu, nimefurahi tu kumuona Wenger akiwa kwenye picha moja na mzee Wenger.Kuna shida kwani mkuu![]()
Hio ni michezo ya watu wenye akili mingi, ilianza kuwepo tokea kipindi cha vita ya kwanza ya dunia.Ivi wazee kweli city alikuwa serious na Rice au ilikuwa zuga ili sisi tu spend on that money then we limit ourself to spend to other area of the field??




Jesus aachane na madaktari wa Arsenal. Akawatafute wale madaktari wa Cazorla.Mikel Arteta amethibitisha kuwa Bukayo Saka yupo sawa na amefanya mazoezi leo, hivyo yuko tayari dhidi ya Man City
Pia amethibitisha anatarajia Jesus atarudi "hivi karibuni" na utaratibu mdogo wa kusafisha goti ulifanikiwa
Habari njema
![]()
Erik 7 hag a Dutch David Moyes huyu huyu ?Hio ni michezo ya watu wenye akili mingi, ilinza kuwepo tokea kipindi cha vita ya kwanza ya dunia.
Pep kwa hii miakili aliyonayo ukiangalia na akili za competitors wake kama kina Arteta unaona kabisa ataendelea kudominate ligi kwa miaka mingi sana mpaka pale atakapoamua mwenyewe kua sasa inatosha.
Ndio maana mkombozi 10hag akaamua kwa hiyari yake kuja Uingereza kumaliza utawala wa Pep kwenye Premier League.
Tunapowaambiaga kua Jasusi mbobezi 10Hag ni mtetezi wa wanyonge mue mnaelewa![]()
International huwa ni wiki 2 ,plus wiki 1 kuanzia Leo had EPL kuanza , jumla wiki 3before intrntl games epl itachezwa week ngap na hio interntl holiday itachukua wik ngap

Arteta: We are in the process [of squad building]," 
