Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Pochi nene Kroenke's aitolee wapi?Kronke pochi Nene
Kwa saka na partey watuongezee watu
Rice akae pale pale kwa xhaka
Hapo kadanganywa na Arteta akitumia £250+ kwenye usajili dirisha hili lazima wabebe kombe.
Kimbembe ni pale ligi inaelekea ukingoni halafu Asenyo ndio kwanza anapambania kuingia top4 tena kwa kusuasua wakati walishaudanganya ulimwengu kua wanaenda kudominate ligi kwa miaka 10.
Mateka asipotimuliwa msimu ujao ntaamini kweli uchawi upo.