hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,290
- 26,693
Araujo alimuumiza ile mech na barcaSio nzuri kabisa hii....so now we rely on Nketiah, Trossard and Kai
Araujo alimuumiza ile mech na barcaSio nzuri kabisa hii....so now we rely on Nketiah, Trossard and Kai
Niliona yule mpumbavu alipania kumuumiza...halafu baada ya mechi tena kocha wao ndo akaanza kulalamika kwmba sisi tulikamia sana😅😅Araujo alimuumiza ile mech na barca
Sasa itakuaje itabidi tumuachie Kai urojo acheze hiyo position nafasi 10 goli moja.Football London
Been told G.Jesus has had arthroscopic knee surgery, a “clean up”. They suspected loose fragments was causing him pain and had to address it. No timetable but the hope is 6 weeks. He’ll miss games against Man Utd and the North London derby.
Kai ana game 4 goli 2Sasa itakuaje itabidi tumuachie Kai urojo acheze hiyo position nafasi 10 goli moja.
Lazima kuna wajanja wa pale london wamekata % kama bongo sio?![]()
Hapa bila hata kupepesa macho mmepigwa kote , nakumbuka mudryk kambi ya utetezi ilikuja kusema alitaka hela kubwa anaweza kuchafua dressing room atmosphere, bora hata umeanza kushtuka mapema .
Uwanjani ni vile tu unasubiri uone maajabu ya arteta kitu ambacho si sahihi kwa mchezaji wa €65 na salary ya 331k .
Chelsea ni sawa last season ilikua mbovu , vipi kuhusu seasons nyingine stats zake zikoje kipindi chelsea iko poa.
Havertz hajawahi kuwa na goals 10 au assist 10 kwa single season, ERW tu dogo janja kuna msimu amefika goli 10 ila havertz haijawahi kutokea , tukubaliane tu mda mwingine kuna kupigwa na kwa havertz mmepigwa .


Hapo Mc Masingeli kashayaaminisha makondoo ya humu kua Harvez ndio Messiah wao waliokua wanamsubiria kwa miongo kadhaa awavushe bahari na kuwafikisha nchi ya ahadi. Wao wqmeshazoea kutapeliwa kwa hyo sio ishu ndo maana wanaomba sana na kwa arsenal itokee hvyohvyo...Lukaku...di maria...Pogba...van de beek... Werghost mzee wa mikimbio mizuri...Antony masebene...Sancho...kwakweli list ni ndefuKai ana game 4 goli 2
Mount mmetapeliwa Game 5 Goal 0 assist 0
7hag ni tapeli
Nilikuwa namcheki hojlund mkuu aisee ni hatari...makipa inabidi wajiandae...jamaa ni noma😅😅Hapo Mc Masingeli kashayaaminisha makondoo ya humu kua Harvez ndio Messiah wao waliokua wanamsubiria kwa miongo kadhaa awavushe bahari na kuwafikisha nchi ya ahadi.
Hii timu ni sawa tu na kikundi cha comedy.
Inafurahisha mnavyoteseka kukazana Kai tumepigwaHapo Mc Masingeli kashayaaminisha makondoo ya humu kua Harvez ndio Messiah wao waliokua wanamsubiria kwa miongo kadhaa awavushe bahari na kuwafikisha nchi ya ahadi.
Hii timu ni sawa tu na kikundi cha comedy.
Habari za kuaminika kutoka England ni kwamba makipa wote wa EPL kasoro Andre Onana wameunda group lao la Whatsapp lengo ni kujadili ni namna gani wanaweza kumzuia Rasmus Hojlund, jamaa anaweza kufunga kwa kutumia kila kiungo kwenye mwili wake,Hojlund aliwahi kupiga penati kwa kichwa.Nilikuwa namcheki hojlund mkuu aisee ni hatari...makipa inabidi wajiandae...jamaa ni noma![]()
Wanaojua mpira wanajua Talent ya Kai ,Cha ajabu makanjanja ndio mnasema tumepigwaHapo Mc Masingeli kashayaaminisha makondoo ya humu kua Harvez ndio Messiah wao waliokua wanamsubiria kwa miongo kadhaa awavushe bahari na kuwafikisha nchi ya ahadi.
Hii timu ni sawa tu na kikundi cha comedy.


| Owen Hargreaves:Halafu kinakuja kigenge kinachoangalia mpira vibanda umiza kinakwambia pale mmepigwa yaani yule hamna kitu kabisa....na wanatoa mifano kabisa kwmba amepewa mechi nyng kwlikwli yule hajaonesha kitu..Wanaojua mpira wanajua Talent ya Kai ,Cha ajabu makanjanja ndio mnasema tumepigwa
| Owen Hargreaves:
“I love Kai. I think he has so much talent. His body language is a bit like Mesut Ozil. I think he is misunderstood.
“He can play there (in the middle of the park) certainly in an Arsenal team that has 70% possession.
“He doesn’t have to be nasty. All he has to do is get on the half-turn and get his head up.
“I think he gives them a huge opportunity to rest Saka, to rest Ødegaard and to rest Gabriel Jesus. He can play in all three of those positions. Plus, he can play deeper. I think the deeper one is the hardest one.
“But I think his talent is undeniable. What is he 6ft2? He is good in the air. He can do so much and I think with the issues Chelsea had, the ship sank and everybody went under with it.
“I don’t think you can judge anyone in those circumstances and I think Kai is in for a big year.” [@talkSPORT] #afc
Kai ni yuleyule tu, usiwahadae watu humu kwa hizo warm up za pre season na kuwaaminisha wategemee mambo makubwa toka kwa Kai.Inafurahisha mnavyoteseka kukazana Kai tumepigwa
Mount amecheza mech ngapi had Sasa na kafanya Nini ? Tena kapewa no.7
Huyu jamaa Sion akivuka Goli 2 kwa msimu ,kasha flop hata Ligi haijaanza ,
Pre season Hakuna kipya alichoonesha ataongeza hapo unyumbuni
Cha ajabu mnalazimisha kwa Kai ambaye kila mechi anafanya poa
View attachment 2707117
Sawa ila tukubaliane mapema kabisa humu ikifika mwisho wa msimu hatutaki kuona kondoo yoyote anamtukana Kai?Halafu kinakuja kigenge kinachoangalia mpira vibanda umiza kinakwambia pale mmepigwa yaani yule hamna kitu kabisa....na wanatoa mifano kabisa kwmba amepewa mechi nyng kwlikwli yule hajaonesha kitu..
United Fans can keep their mouths shut on big transfers….Kai ni yuleyule tu, usiwahadae watu humu kwa hizo warm up za pre season na kuwaaminisha wategemee mambo makubwa toka kwa Kai.
Kai kwenye Epl alishaprove kua ni failure.
Kuna wahuni tu hapo Emirates wakiongozwa na mpiga dili Arteta wameforce biashara ili wapige 10%

- flopped 
- flopped 
- Is a flop 
- Is a flop 
- Is a flop 
- Flopped 
- Already Flopping 
- Is a flop

He is going to be Flopped of the seasonUkiona tumemtukana Kai basi na nyie mtakuwa mshamtukana Mount vya kutosha na kushinikiza auzwe...ila nyie mna ustahamilivu na kupigwa ni kama jadi yenu maana mshazoea kiukweliSawa ila tukubaliane mapema kabisa humu ikifika mwisho wa msimu hatutaki kuona kondoo yoyote anamtukana Kai? View attachment 2707127
United Fans can keep their mouths shut on big transfers….
Here are your flops from the last 10 years:
Lukaku £75Mil- flopped
Pogba £89Mil- flopped
Sancho £73Mil- Is a flop
Anthony £82Mil- Is a flop
Maguire £80Mil- Is a flop
Di Maria £59Mil- Flopped
Mount £60Mil- Already Flopping
Martial £54Mil- Is a flop
Hojlund £85mHe is going to be Flopped of the season
So what about a mountain who has played almost all games with zero effect. Last time we heard of him is from Romano.Kai ni yuleyule tu, usiwahadae watu humu kwa hizo warm up za pre season na kuwaaminisha wategemee mambo makubwa toka kwa Kai.
Kai kwenye Epl alishaprove kua ni failure.
Kuna wahuni tu hapo Emirates wakiongozwa na mpiga dili Arteta wameforce biashara ili wapige 10%
Alikuwa hadi Radamel Falcao pale kwenye matofali ya kuchoma....mechi 29 goli 4...forward hyo😅😅😅....sitashangaa hojlund akimaliza msimu na goli 2 halafu tuje kuambiwa akiwepo yy kule mbele timu inakabia juu na hyo ndo faida yke😅😅So what about a mountain who has played almost all games with zero effect. Last time we heard of him is from Romano.View attachment 2707138
Nakupa hii Kama hujuiKai ni yuleyule tu, usiwahadae watu humu kwa hizo warm up za pre season na kuwaaminisha wategemee mambo makubwa toka kwa Kai.
Kai kwenye Epl alishaprove kua ni failure.
Kuna wahuni tu hapo Emirates wakiongozwa na mpiga dili Arteta wameforce biashara ili wapige 10%