Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na vile mnaenda kudominate EPL kwa miaka 10 sasa hivi wachezaji wote Arsenyo ndio timu ya ndoto yao.
Hata Magwaya leo akisikia tetesi kua Asenyo inamtaka ataanza kudai kua Asenyo ndio timu ya ndoto yake
Arsenal haiwez sajili takataka Kama magwaya

Huyo ni mchezaji wenu mlipigwa kwa sababu ya ujinga wenu halafu lawama mnawapa Joel na Avram
 
Hata Mudryk alikua anawahadaa hivyohivyo kua Asenyo ni timu ya ndoto yake kumbe alikua anawatumia kama chambo ili Chelsea aongeze pesa.
Huyohuyo Mudy baada Aseno timu ya ndoto yake kuchabangwa na kutolewa kwenye michuano ya Europa akapost hii kitu kama kebehi kwa Arsenyeto ya ndoto yake. View attachment 2708082
Tukiweka ushabiki pembeni
Huyo dogo anatamani ata leo awe pale Emirates
 
Halafu mkuu si ni nyny mlimualika bwana mdgo Timber kuja kuangalia mtanange wenu na Man City fainali ya FA....baada ya kutoka pale bwana mdgo akasema HAPANA siwezi kujiunga na hiki kikundi cha wakimbiaji...chap akabadili mawazo
Bayern Hana uwezo wa kuchukua mchezaji tunayemtaka....sasahv tukienda sokoni ukiona tumetuma ofa ujue imeisha hyo ..unabisha subiri uone hyo Raya ataishia wapi🤣🤣🤣
N
Na vile mnaenda kudominate EPL kwa miaka 10 sasa hivi wachezaji wote Arsenyo ndio timu ya ndoto yao.
Hata Magwaya leo akisikia tetesi kua Asenyo inamtaka ataanza kudai kua Asenyo ndio timu ya ndoto yake
Tunaweza kwli tukatuma ofa ya kumtaka Magwaya....aje kuwa anasafishasafisha viatu vya wachezaji pale Emirates maana ndo kazi itakayomfaa pale fantastic Captain Magwaya🤣🤣
 
Halafu mkuu si ni nyny mlimualika bwana mdgo Timber kuja kuangalia mtanange wenu na Man City fainali ya FA....baada ya kutoka pale bwana mdgo akasema HAPANA siwezi kujiunga na hiki kikundi cha wakimbiaji...chap akabadili mawazo
Timber hawez kwenda kucheza mpira wa fujo fujo wa bwana Dutch David Moyes Erik 7 hag
 
Tukiweka ushabiki pembeni
Huyo dogo anatamani ata leo awe pale Emirates
Ukweli wa wazi huyo dogo tutamchukua kwa Bei ndogo tu ,maana msimu huu anaenda kuingia raami kwenye list ya Sajili za kukumbukwa za kitapeli
 
Halafu mkuu si ni nyny mlimualika bwana mdgo Timber kuja kuangalia mtanange wenu na Man City fainali ya FA....baada ya kutoka pale bwana mdgo akasema HAPANA siwezi kujiunga na hiki kikundi cha wakimbiaji...chap akabadili mawazo
Bayern Hana uwezo wa kuchukua mchezaji tunayemtaka....sasahv tukienda sokoni ukiona tumetuma ofa ujue imeisha hyo ..unabisha subiri uone hyo Raya ataishia wapi🤣🤣🤣
N
Na vile mnaenda kudominate EPL kwa miaka 10 sasa hivi wachezaji wote Arsenyo ndio timu ya ndoto yao.
Hata Magwaya leo akisikia tetesi kua Asenyo inamtaka ataanza kudai kua Asenyo ndio timu ya ndoto yake
Tunaweza kwli tukatuma ofa ya kumtaka Magwaya....aje kuwa anasafishasafisha viatu vya wachezaji pale Emirates maana ndo kazi itakayomfaa pale fantastic Captain Magwaya
Tukiweka ushabiki pembeni
Huyo dogo anatamani ata leo awe pale Emirates
Yaani mchezaji tyri ni mali ya timu nyngne lakini anatufatilia sana maana yake ni kwmba kinamuuma kutokumchukua...na sisi tuliona utapeli ule tukakwepa mabomu🤣
 
Net spend mpaka igonge 250

Arsenal’s net spend has now gone from £199.7m to £167.7m after the sales of Pablo Marí to Monza (£6m), Granit Xhaka to Leverkusen (£21m) and Auston Trusty to Sheffield United (£5m).
 
Na Balogun akiuzwa itazidi kushuka tulete RW na CF mwingine wa kuzugia pamoja na kipa
 
Na Balogun akiuzwa itazidi kushuka tulete RW na CF mwingine wa kuzugia pamoja na kipa
Yah ,kuanzia madirisha yajayo itakuwa tunasajili mchezaji mmoja kwa €100m wakujazia panavuja,

Edu aliwahi ongelea Hili, naamini dirisha lijalo ni kushusha CF wa €100m+ mwenye magoli ya kutosha ,sio Goals 9 Kama yule wa manjesta
 
TRANSFER NEWS:

Arsenal bid £20m +£3m add ons last night for David Raya.

It's expected to be rejected as Brentford want closer to £30m. #AFC set to go back in for a second time with a £27m bid.

Club confident. Talks ongoing.
 
Forever Young Mikel
20230804_124705.jpg
20230804_124645.jpg
20230804_124642.jpg
20230804_124638.jpg
 
Kusema hii timu ni kibonde kiasi ichi Mpaka wazee wa mikeka wamewapa mipoint mingi hivi.

Mtarambwa mbaya Wenger orphans
Screenshot_20230804-113332.jpg
 
Arsenal and Brentford are in discussions over a fee for David Raya, with the Gunners wanting to strike a deal for just over £20million.

Raya is keen to join Arsenal and talks will continue to see if a resolution can be found.

(@sr_collings )
 
EXC

Gabriel Jesus kuna uwezekano atakuwa nje kati ya wiki tatu hadi sita.

Habari njema kutakuwa na mapumziko ya mechi za kimataifa katikati ya Septemba na Arsenal wanaweza kutumia muda huo kwa ajili ya kupona haraka.

Hiyo inamaanisha kwamba anaweza kurejea kucheza kwa takribani wiki ya tano ya msimu wa Ligi Kuu ya Uingereza
 
️ | Arsenal will make a second bid of £27m for Brentford goalkeeper David Raya as revealed by @Dobbo0107.

We have heard that Brentford are likely to settle at £30m. Which is arguably still a lot of money for a keeper with only one year left.

The Gunners want the title and look like they are willing to do whatever it takes. We expect one or two more to come through the door, but a lot of outgoings expected in the next two weeks.

Folarin Balogun, Sambi Lokonga, Cedric and Nuno Tavares are but a few of the players set to depart the club this summer. #AFC #Transfers #Brentford
 
Arsenal close to striking a deal with Brentford for David Raya. Fee close to £28m. Details over add ons being discussed. #AFC
 
EXCL: Nottingham Forest submitted an official bid for Matt Turner.

Understand the proposal has been made for permanent transfer, talks advancing with Arsenal.

Crucial step in goalkeepers domino as #AFC keep negotiating with Brentford for David Raya, deal getting closer.
 
Back
Top Bottom