Yeah mwaka jana mliteleza bahati mbaya sana this season hata nafasi tu ya kuteleza hamtakuwa nayo.
Mwaka jana flow ya mpira wenu pre season it was best mzee na ilionesha mna kitu , tukicheki flow ya mpira this pre season mliyonayo na energy iliyotumika last season tunaona kabisa kama hamtoboiii hio top 4 na si kwa ubaya kabisa.
Liverpool karudii kwenye ubora sidhani kama kuna injuries zozote kwao ila last season kina diaz, thiago na jota walikua injuries now wapo full mkoko ,Chelsea madogo janja wakina mudryk, Jackson, nkunku , enzo na valhovic anakaribia kutua usiwachukulie poa mzee.
Wakati wenzenu wanapiga picha na trophies nyie mtabaki kupiga picha na clock la highubry

View attachment 2707650