kama SevillaMonacco si tutawapiga saba, wana mpira gani?
Ona Sambi Lokonga kama hayuko mazoezini vile
[emoji1787][emoji1787]huyu wiki hii anaondokaOna Sambi Lokonga kama hayuko mazoezini vile
Tavares anazurura nchi gani kutafuta timu maana yy na Pepe sijawahi ona picha Yao mazoezini hata siku moja
Sijui wapo wapi ,itakuwa Viburi vyao wametengwaTavares anazurura nchi gani kutafuta timu maana yy na Pepe sijawahi ona picha Yao mazoezini hata siku moja
Mm wakiondoka Tavares...Pepe..Lokonga na Cedric yaani rohoni ntakuwa na amani...mara kumi holding abaki hata kama atasugua benchi maana jamaa tabia yake ni kama Elneny huwa ha complain akipewa nafasi anacheza asipopewa pia freshSijui wapo wapi ,itakuwa Viburi vyao wametengwa
Na hizo dakika za nyongeza ukijifanya kupoteza mda zinagandishwa, unakuta mpira unaisha dakika 120Ni mchaka mchaka hadi goli lipatikane
Dakika ya 90 zimeongezwa 10
Martinel out
Troussad In
Utaachia tu kwa beki Badiashile
Hii nzuri sana[emoji599] BREAKING: Arsenal and David Raya have reached an agreement on personal terms. Talks between clubs are now expected to accelerate.
Reports, @FabrizioRomano. [emoji633]
Daah picha hata sion mku wangu, hiki kitu naumia sanaa sipatai uondo, kila app nayo download inazingua tu
Siku hizi tuna gusa tu , kitu imoo[emoji599] BREAKING: Arsenal and David Raya have reached an agreement on personal terms. Talks between clubs are now expected to accelerate.
Reports, @FabrizioRomano. [emoji633]