hamis77 wiki 6 kwenye EPL sio kitu kidogo last season Arsenal alitumia only 3 weeks kupoteza first position katika EPL kila wiki inahitaji positive results we need a professional goal scorer who is Nketiah?mbahatishaji?huyo Balogun naye kacheza Arsenal games ngapi?France league na EPL ni vitu viwili tofauti kwa sasa we need a goal scorer kuliko goalkeeper licha namkubali sana Raya sana Arsenal haina mfungaji kama tutaenda na Nketiah na Balogun ili tubebe EPL naapa tutavuna mabua
Yaan kweli unaamini kabisa kumkosa mchezaji wiki 6 , inakubidi uende sokon kutoa pesa namaanisha pesa ,sio kwenda na £40m utarudi na CF ambaye bado hataweza kumuweka nje hata Trossard
Top CF Sion alisajiliwa dirisha hili never , au hujaona Victor Osimhen imepelekwa ofa £120m imepigwa chini
Manjesta wametoa €85m wamesajili CF ana goal 9[emoji1787]
Kwenda sokon kusajili CF Sasa hivi kwa Bei chin ya €50m ni kuchezea hela
Balogun ,Nketiah waliopo Arsenal thaman zao sokon ni €50m
Ninachojua Mimi false 9 ya Trossard haiwez kutuzuia tusishinde against kina forest , manjesta , na timu Kariba hizo
Umetolea mfano last season ,kwani hujui matatizo yalikuwa kwa kuumia Saliba na Tomiyasu kwa wakati mmoja na sio CF
In all competition Arsenal walifunga goals 120 .
Thus why huwa sielewi kwanini muna mu underrate Sana Trossard , kwa nketiah nitawaelewa ila sio Trossard
Balogun najua Hana uzoefu na EPL , na chance ya kubaki ni ndogo Sana
Nimemsahau na Kai , bado hatujamuona Kai Kama CF kwa system yetu ya possession football ,
Kama tunaamini Hatuwez kushinda mpaka dhidi ya kina manjesta ,Chelsea ,forest ,palace bila CF Basi haina haja yakugombea EPL ,tugombee top 4