hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,302
- 26,696
Hawa jamaa wasikuumize kichwaAlikuwa hadi Radamel Falcao pale kwenye matofali ya kuchoma....mechi 29 goli 4...forward hyo....sitashangaa hojlund akimaliza msimu na goli 2 halafu tuje kuambiwa akiwepo yy kule mbele timu inakabia juu na hyo ndo faida yke
![]()
Last season walitembea na upepo wa Rashid makame ,msimu huu kashaonesha amerud kwenye default settings
Walimsajili Anthony masebene tuliwaambia wazi Waz wametapeliwa
Walibisha ,Leo wanaungana nami kuwa ni utapeli wa Karne ulifanyika
Hojlund Goli 9 , farmer league
Anakuja EPL ,sitashangaa akifunga goli 3-4 msimu mzima,na lawama wapewe Grazzer family



|| If Arsenal are listening to offers for Balogun, West Ham will want to be in the conversation