Wewe ni nyumbu? Si mlipigwa juzi nyieApproach yetu sisi ni game to game mwisho wa msimu wataamua wenyewe wamkabidhi ndoo nani![]()
Msimu sisi hatutaki kusikia mambo ya kuoverachieve Arteta akizingua tutaanza #ArtetaoutWewe ni nyumbu? Si mlipigwa juzi nyie
Let see ,Arteta kaulizwa Hilo swaliTunahitaji ST
Tukijidanganya kwamba kuna Trossard au Kai kitatukuta kilichomkuta Chelsea.
Lukaku ingawa ni miyeyusho kwenye dressing room ila ni option nzuri ya muda mfupi.

️ #AFCJibu swali wewe si nyumbu?[QUO
Msimu sisi hatutaki kusikia mambo ya kuoverachieve Arteta akizingua tutaanza #Artetaout
Lukaku?ahaaaa my brother Castr huyo ni mnafiki that's why Inter,Huko Juventus even Chelsea hawamtaki na pia ni mbahatishaji tu LukakuTunahitaji ST
Tukijidanganya kwamba kuna Trossard au Kai kitatukuta kilichomkuta Chelsea.
Lukaku ingawa ni miyeyusho kwenye dressing room ila ni option nzuri ya muda mfupi.
,presha ya kuplay big teams hawezi yeye anaperform akiwa Everton, West brom ukimleta big teams ni tatizo tutajitakia kurundika players ambao hawana msaadaDah umemkataa blud mwanzo mwisho 😂Lukaku?ahaaaa my brother Castr huyo ni mnafiki that's why Inter,Huko Juventus even Chelsea hawamtaki na pia ni mbahatishaji tu Lukaku,presha ya kuplay big teams hawezi yeye anaperform akiwa Everton, West brom ukimleta big teams ni tatizo tutajitakia kurundika players ambao hawana msaada
Na hapo wapo mbele y malengoinamaana kuna fezii nyingi tu mbele.
uSiulize zipo fezii ngap, wenyewe hawajui pia![]()

phase 5, ligi kabla haijaanza inabidi tuwaulize kabisa kile kikosi kipana mmeshakipata ? Maana mwezi 4 lawama zilikuwa kikosi kimechoka hamna rotation
jesus tayariii kambani bado hata ligi haijaanzaHii inaitwa IMANI
Kuna mtu anakula % huyu jamaa ni wa kumlipa hiyo pesa? Nilijiuliza kwenye 65M offer
Leo najiuliza juu ya hili la wiki
Tunahitaji ST
Tukijidanganya kwamba kuna Trossard au Kai kitatukuta kilichomkuta Chelsea.
Lukaku ingawa ni miyeyusho kwenye dressing room ila ni option nzuri ya muda mfupi.
Huyu anataka kulazimisha ionekane Kai alishindwa pale Chelsea...Sasa chukua stats tu za mwaka jana pale Darajani almost Kila kitu Kai alikuwa wa 1 ila hataki kukubali ukweli timu ilifeli yte kwa ujumla na hakukua na namna ya kumbebesha lawama mtu mmoja...kama Kai ni mbovu Pre season tyri ana goli mbili kafunga huo ubovu wanaouongela unatokea wapi...mchezaji ku flop au kung'aa pia inategemea na performance ya timu kiujumla ndo maana huwa tunatolea mifano ya Salah na De Bruyne hapa
au tungekupa hio 65 ungeenda kumchukua havertz kweli?Let's wait and see licha stats zake zinanipa shda but may be inawezekana akaperform better kuliko Chelsea na akishindwa kuperform coach lawama zitamuangukia yeye kwa stats hiziHalazimishi huo ndo ukweli , basi tuchukue stats za kai toka ametua chelsea
2020/2021. Goals 4 Assists 3
2021/2022. Goals 8 Assists 3
2022/2023. Goals 7 Assists 1
Hata ingekuwa wewe tu ndo kroenke yani umetoa €65 na mshahara mchezaji anapewa 331k per week, club’s highest -paid player then unaonyeshwa stats za mchezaji hizo juu kwanini usiseme umepigwaau tungekupa hio 65 ungeenda kumchukua havertz kweli?
Let's wait and see licha stats zake zinanipa shda but may be inawezekana akaperform better kuliko Chelsea na akishindwa kuperform coach lawama zitamuangukia yeye kwa stats hizi
Kwa Ivan Toney Sawa, akimaliza ban na kwa kua January ndio huwa tuna struggle sana itakua option nzuri sana na kwa sasa tunaweza kumpata kwa bei Chee mno.Tuteme bungo tumrudie Vlahovic
Tumsake Lautaro
Mtukutu Ivan Toney
Mikel Arteta on how good of a test the Emirates cup for #Arsenal vs Monaco was: 'Yes, very good. Especially for a lot of players that haven't had many minutes in pre-season and as well, for the new players to play for the first time at Emirates Stadium it was special, you could feel the atmosphere and how excited the fans were. In terms of the game, we struggled a little bit to dominate completely and have the game that we want, we had much better periods in the second half.Sio nzuri kabisa hii....so now we rely on Nketiah, Trossard and KaiFootball London
Been told G.Jesus has had arthroscopic knee surgery, a “clean up”. They suspected loose fragments was causing him pain and had to address it. No timetable but the hope is 6 weeks. He’ll miss games against Man Utd and the North London derby.