Saka ni level nyingine, kwa duniani sidhani kama ana mpinzani kwa sasa kwenye RWLeo kacheza RW , hawez kucheza Kama Saka au Nelson
Mzuri sana jamaaa,ngoja timu icklick tutamuona,na leo amekaba pia,na ni mzuri kwanye kutoa passKai ni swala la muda tu
𝐃𝐚𝐯𝐢𝐝 𝐑𝐚𝐲𝐚
𝐀𝐫𝐬𝐞𝐧𝐚𝐥nimemuona ila sio wa kumtegemea kukupa mataji.. alichonacho zaidi ni ile hali ya upambanaji hususani katka kugongana na mabeki lkn ubora wake upo chini sna kiasi cha kumtgemea.Dogo kacheza vzr leo
Napenda Sana passing ability yake ,naona kaanza ku adapt na Kukaba ,anarudi chini anapanda juuMzuri sana jamaaa,ngoja timu icklick tutamuona,na leo amekaba pia,na ni mzuri kwanye kutoa pass
Asenali ya huku nitofauti nainayocheza kakaa😂😂😂....Mliocheki game embu tupeni uchambuzi vp offloading na overloading zilikwepo kama kawaida?? Monaco wamekula zile sita tulizoaid au mmeongeza zikawa nane?
Wadanganye tu hawa kondoo.Napenda Sana passing ability yake ,naona kaanza ku adapt na Kukaba ,anarudi chini anapanda juu
Au unadhani hii chelkenge kikund Cha mdundikoWadanganye tu hawa kondoo.
Au unadhani hii chelkenge kikund Cha mdundi
Na hapo wapo mbele y malengo😂😂 inamaana kuna fezii nyingi tu mbele.Asenali ya huku nitofauti nainayocheza kakaa😂😂😂....
Asenali hii inauwezekano ikastrago kupata matokeo hasa ukianza kuiangalia kutokea huku,
Ila kumbuka asenali ni ile ooo ni ile ileee x2😆
Mwaka imejipangaa😆😆😆😆
Fezi foooo bado inajilodiiii......nimekaa pale 👣
Kama nimekuelewa vizuri ina maana hata wao kuwepo fezi 4 wame-overachieve ilitakiwa wawe fezi 2. 😃Na hapo wapo mbele y malengo😂😂 inamaana kuna fezii nyingi tu mbele.
uSiulize zipo fezii ngap, wenyewe hawajui pia😂😂😂
Kina ogwachukwuYaani huwa wanajitahidi kuja huku kuomba njaa kwlikwli...ila watu wanazidi kusonga mbele