hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,326
- 26,785
Upo sahihi Pepe sio mbaya hata namba zake zinaongea kingine anasema mwenyewe Pepe , uchezaji wake ni wakaunta tofaut na Arteta anavyotaka timu ichezePepe kilimharibia ni Saka kuwa among the best players in the worldsio player mbaya ana kiwango kizuri na two seasons zilizopita Pepe alikuwa kwenye ubora wake sana pale mwishoni akifunga magoli ya video na hakuwa serious akijua price yake ni kubwa lazima acheze akaweka kauzembe alivyoibuka Bukayo ikawa hali tete kwake
Binafsi sijawahi kuamin Pepe ni mbaya ila ni profile tofaut kabisa na Mikel anavyotaka timu icheze
Msimu wa mwisho alikuwa na namba nzuri ila uchezaji wake ulionekana sio Arsenal style
Kina Saka martineli hawa ni wadogo imekuwa rahis kwao kufundishika
sio player mbaya ana kiwango kizuri na two seasons zilizopita Pepe alikuwa kwenye ubora wake sana pale mwishoni akifunga magoli ya video na hakuwa serious akijua price yake ni kubwa lazima acheze akaweka kauzembe alivyoibuka Bukayo ikawa hali tete kwake

I understand a meeting took place today at #BurnleyFC headquarters in order to fix personal terms for Sambi Lokonga. Deal’s getting closer… Last details need to be sorted out. 
Wait&See


|| Lokonga to Burnley is apparently loan with obligation.
Lokonga to Burnley close on loan with option to buy which becomes obligations once player makes certain number of appearances
Sheffield United
