Unakazania tumepigwa bila hoja ,sababu kafeli kwenu ,hizi akili matope
Huyu unayesema tumepigwa kila siku nakwambia ndiye BEST PLAYER WENU LAST SEASON
Unakazania tumepigwa ,pre season kacheza mechi 3 , 2 goals Bado unakaza shingo Tumepigwa ,weka hoja tumepigwa wapi na kwanini unahisi tumepigwa ,sio kukomaa tu ,
Eleza technically kwann Kai tumepigwa ,
Mlimuandama sana hii pre season ili afeli ,mechi 3 ,2 goals na Bado hajazoea kabisa uchezaji , Cha ajabu mkaingia mitini
Leo mnasema tumepigwa , sababu za msingi hakuna