Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wamewasili
20230802_184643.jpg
20230802_184626.jpg
20230802_184620.jpg
20230802_184507.jpg
 
Attachments

  • 20230802_184507.jpg
    20230802_184507.jpg
    56.4 KB · Views: 5
At Bayer Leverkusen Kia Havertz was one of the most wanted talents in world football. While at Chelsea we never saw his form get nowhere near close to expectations.

Just like Mo Salah and De Bruyne never hit there potential at Chelsea.

I believe Havertz can hit the same heights under Arteta at Arsenal.

View attachment 2706300
Kama kawaida yako kuwalisha kondoo wako matango pori, situation ya Mo Salaa na De brune ni tofaut na huyo kilaza, Mo salah na De brune Chelsea hawakupewa Muda wa kuonyesha walichonacho, ila huyo ronyoronyo alipewa muda mpaka wa upendeleo lakini holaaa. So usiwadanganye eti atakuja kuwa kama De brune au Mo salah.
Hapo mmepgwa hamna ubishi, muda ndio utadhibitsha hilo.
 
No Pepe, Tavares, Lokonga or Okonkwo on the programme for #AFC today
20230802_185112.jpg
 
Kama kawaida yako kuwalisha kondoo wako matango pori, situation ya Mo Salaa na De brune ni tofaut na huyo kilaza, Mo salah na De brune Chelsea hawakupewa Muda wa kuonyesha walichonacho, ila huyo ronyoronyo alipewa muda mpaka wa upendeleo lakini holaaa. So usiwadanganye eti atakuja kuwa kama De brune au Mo salah.
Hapo mmepgwa hamna ubishi, muda ndio utadhibitsha hilo.
Ok sawa De Bruyne alivyotoka Chelsea akaenda wapi?

Salah alienda wapi baada ya Chelsea?
 
Unakazania tumepigwa bila hoja ,sababu kafeli kwenu ,hizi akili matope

Huyu unayesema tumepigwa kila siku nakwambia ndiye BEST PLAYER WENU LAST SEASON

Unakazania tumepigwa ,pre season kacheza mechi 3 , 2 goals Bado unakaza shingo Tumepigwa ,weka hoja tumepigwa wapi na kwanini unahisi tumepigwa ,sio kukomaa tu ,

Eleza technically kwann Kai tumepigwa ,

Mlimuandama sana hii pre season ili afeli ,mechi 3 ,2 goals na Bado hajazoea kabisa uchezaji , Cha ajabu mkaingia mitini

Leo mnasema tumepigwa , sababu za msingi hakuna
 
Huyu anataka kulazimisha ionekane Kai alishindwa pale Chelsea...Sasa chukua stats tu za mwaka jana pale Darajani almost Kila kitu Kai alikuwa wa 1 ila hataki kukubali ukweli timu ilifeli yte kwa ujumla na hakukua na namna ya kumbebesha lawama mtu mmoja...kama Kai ni mbovu Pre season tyri ana goli mbili kafunga huo ubovu wanaouongela unatokea wapi...mchezaji ku flop au kung'aa pia inategemea na performance ya timu kiujumla ndo maana huwa tunatolea mifano ya Salah na De Bruyne hapa
 
Tumepigwa kwny ubora wa mchezaji au mshahara anaopokea...fafanua mkuu
Naona kote tumepigwa. kwa uchezaji nataka niweke akiba a maneno kama mjumbe mwingine alivyosema ingawa simuoni kama ni mchezaji mkali kiiiivyo. Naamini ataweza kuliko Xhaka ambaye nahisi ndie amekuja kumreplace so timu ikicheza kama last season, basi tutaona amekuwa bonge la sajili. Tukiwa tunastruggle simuoni kama mtu wa kuvuta na kujaribu kubeba timu. Kwenye mshahara pia ni mkubwa sana. sioni amestahili vipi kuwa top earner wetu
 
Arsenal XI: Ramsdale; Timber, Saliba, Kiwior, Tomiyasu; Partey, Rice, Smith Rowe; Vieira, Nketiah, Martinelli
20230802_190349.jpg
 
Naona kote tumepigwa. kwa uchezaji nataka niweke akiba a maneno kama mjumbe mwingine alivyosema ingawa simuoni kama ni mchezaji mkali kiiiivyo. Naamini ataweza kuliko Xhaka ambaye nahisi ndie amekuja kumreplace so timu ikicheza kama last season, basi tutaona amekuwa bonge la sajili. Tukiwa tunastruggle simuoni kama mtu wa kuvuta na kujaribu kubeba timu. Kwenye mshahara pia ni mkubwa sana. sioni amestahili vipi kuwa top earner wetu
Arteta aliulizwa swali Kama Kai ni mbadala wa Xhaka alisema hapana

Ipo hivi KAI anacheza alipocheza Xhaka ,LCM lakin ana majukumu tofauti na aliyokuwa nayo Xhaka , hapa ndipo mashabiki wanachanganya wanaweka akilini Kai ni mbadala wa Xhaka ,sio kweli

Hapo hapo LCM tegemea kumuona Rice,Smith Rowe , Trosaard,Vieira

Wote profile tofauti majukumu tofauti,Ila nafasi hiyo hiyo aliyocheza Xhaka

Leo Vs Monaco

Rice anacheza LCM
 
Niliwahi sema Rice atakua na kazi ya kuadopt na ndiyo kinachotokea hapa.

Huwezi muachia dimba ili usiwe mtupu kwenye kiungo so inabidi acheze na Partey.

Yeye acheze LCM, of coz timu itaperform. Je ilitoka 100M kwaajili ya mtu kuja kukaa LCM? Yule Zubimendi angetua hapo mngefurahi.
 
Niliwahi sema Rice atakua na kazi ya kuadopt na ndiy kinachotokea hapa.

Huwezi muachia dimba ili usiwe mtupu kwenye kiungo so inabidi acheze na Partey.

Yeye acheze LCM, of coz timu itaperform. Je ilitoka 100M kwaajili ya mtu kuja kukaa LCM? Yule Zubimendi angetua hapo mngefurahi.
Rice anaandaliwa kumrith Partey

Zubimend yule si holding MD nae , huenda nae angehitaji kuzoea ,hata Partey nadhan ilimchukua karibu miezi 6 ndio akaanza kucheza lone 6, nakumbuka tulianza kucheza lone 6 round ya 2 msimu wa juzi
 
Kwa mechi chache nilizoona Zubimendi ni Busquet
 
Arteta aliulizwa swali Kama Kai ni mbadala wa Xhaka alisema hapana

Ipo hivi KAI anacheza alipocheza Xhaka ,LCM lakin ana majukumu tofauti na aliyokuwa nayo Xhaka , hapa ndipo mashabiki wanachanganya wanaweka akilini Kai ni mbadala wa Xhaka ,sio kweli

Hapo hapo LCM tegemea kumuona Rice,Smith Rowe , Trosaard,Vieira

Wote profile tofauti majukumu tofauti,Ila nafasi hiyo hiyo aliyocheza Xhaka

Leo Vs Monaco

Rice anacheza LCM
Mimi nilivyosikia tunahusishwa naye tu wazo langu la kwanza lilikuwa kwamba anakuja kumreplace Xhaka na kucheza nafasi yake. Nikadhani pia kuwa kwa sababu jamaa ni mrefu na ana mbio zaidi na anainia sana kwenye box, basi tutaongeza idadi ya shooters ndani ya box pamoja na target man kwa mipira ya kichwa pale tunapobidi kutumia njia hiyo.

Kuna goli alifunga preseason kwenye back post. Mwakinyo alimpigia kicross flani kitamu kikamvuka beki aliyekuwa anamkaba Kai lakini Kai aliuchukua mpira kifuani na chini ya sekunde baadae mpira ulikuwa wavuni. Naona kweli itakuwa kama wasemavyo wachambuzi kwamba jamaa anapenda kutafuta na kujiweka kwenye nafasi za kufuna. akiwa na finishing nzuri tutamfuraia sana
 
Unakazania tumepigwa bila hoja ,sababu kafeli kwenu ,hizi akili matope

Huyu unayesema tumepigwa kila siku nakwambia ndiye BEST PLAYER WENU LAST SEASON

Unakazania tumepigwa ,pre season kacheza mechi 3 , 2 goals Bado unakaza shingo Tumepigwa ,weka hoja tumepigwa wapi na kwanini unahisi tumepigwa ,sio kukomaa tu ,

Eleza technically kwann Kai tumepigwa ,

Mlimuandama sana hii pre season ili afeli ,mechi 3 ,2 goals na Bado hajazoea kabisa uchezaji , Cha ajabu mkaingia mitini

Leo mnasema tumepigwa , sababu za msingi hakuna
Kenge wameamua kuwa wachawi tu, ukweli ni kuwa hawana hoja ya msingi
 
Back
Top Bottom