Uzi mzuri3rd kit soon inaachiwaView attachment 2704728
wamekosea tu kuweka kishikizoUzi Ni mtamu Sana hakika3rd kit soon inaachiwaView attachment 2704728
Inabidi tu watu waelewa mpira ume change hizi 50m,60,m sio kitu saizi no hela za kupata wakina Ben White sio mchezaji wa maana.Huyu raisi wa Napoli anakiburi Sana , amekataa €140m anataka €150m
Sasa hivi ukiwa na CF ana uhakika wa goli 20+ kwa msimu ndan ya Ligi 5 Bora ,Basi una asset kubwa
Napoli expected to turn down the €140m bid for Victor Osimhen as the club want at least €150m
Inabidi tu watu waelewa mpira ume change hizi 50m,60,m sio kitu saizi no hela za kupata wakina Ben White sio mchezaji wa maana.



Nawaza Sijui Ronaldo au Messi wa kipindi kile kwa Sasa wangekuwa bei gani sokoni.
Subiri Rice atawathibitishia Bei yakeNawaza Sijui Ronaldo au Messi wa kipindi kile kwa Sasa wangekuwa bei gani sokoni.
Kama mchele watu wanatoa 105m sasa Patrick viera kwa Sasa ingekuwa bei gani.
Pale mmepgwa, haina hata ubishi.Subiri Rice atawathibitishia Bei yake
3rd kit release date has been delayed till the 18th of August
Kwa mech ngapi umemuona ukathibitisha hivo au ushabiki tuPale mmepgwa, haina hata ubishi.
Wenzio Mpaka Sasa tunasubiri Dj spin Sancho magwaya watuthibitishie kuwa hela azijaenda bure lakini ola karibuni kwenye chama Cha kusubiria.Subiri Rice atawathibitishia Bei yake
Wenzio Mpaka Sasa tunasubiri Dj spin Sancho magwaya watuthibitishie kuwa hela azijaenda bure lakini ola karibuni kwenye chama Cha kusubiria.



Huu uzi upo madukani hata kabla uzi namba moja haujatambulishwa chezea bongo wewe.Huku bongo huu uzi unawezakuta kesho madukani. Hivi Arsenal kwanini wasiweke utaratibu nasisi 3rd world country tukawa tunapata vitu OG kwa bei nafuu nakuchangia Team yetu kukuza uchumi?

Hii Sheria itasaidia kdg kupunguza timu zinazopoteza mudaNIMEFURAHI HII SHERIA ,KUNA TIMU ZILIKUWA ZINAPOTEZA SANA MUDA
Mfano Newcastle pale Newcastle
Premier League and EFL officials will add World Cup-style amounts of injury time to matches as part of a crackdown on time-wasting.
@SkySportsPL
Ni mchaka mchaka hadi goli lipatikaneNIMEFURAHI HII SHERIA ,KUNA TIMU ZILIKUWA ZINAPOTEZA SANA MUDA
Mfano Newcastle pale Newcastle
Premier League and EFL officials will add World Cup-style amounts of injury time to matches as part of a crackdown on time-wasting.
@SkySportsPL
Ni mchaka mchaka hadi goli lipatikane
Dakika ya 90 zimeongezwa 10
Martinel out
Troussad In
Utaachia tu kwa beki Badiashile



Nakumbuka Newcastle tuliwapelekea Moto wakaanza kupoteza muda ili wapate sareHii Sheria itasaidia kdg kupunguza timu zinazopoteza muda