mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
Hahahaha ila nasikia Raya amembiwa aje apiganie nambaSiku hizi tuna gusa tu , kitu imoo
Iyooo imeeenda iyoooo
Ramsadale we come for you get prepared..
Angalia hapo chini jamaa kakuwekea maelezo ,Daah picha hata sion mku wangu, hiki kitu naumia sanaa sipatai uondo, kila app nayo download inazingua tu
Mwenye link ashushe iyo app ambay ina support picha


Shukhuran mkuu, ila hi ndio latest vision, na ndio niliyo download , na ndio nayo tumia inaleta kizuizi
Angalia hapo version 8.8.57Shukhuran mkuu, ila hi ndio latest vision, na ndio niliyo download , na ndio nayo tumia inaleta kizuizi

Tuna mpokea kwa mikono miwili,,Hahahaha ila nasikia Raya amembiwa aje apiganie namba
But kwa takwimu za Raya nisiwe mnafiki , Ramsdale bench linamuita
Raya ndiye anaongoza kwa kupiga long balls successful nadhan ulaya nzima kwa ma GK, kwenye buildup ni mzuri lakin sio elite Sana Kama kina Allison,Ederson ,au onana
Hahaha yani hata hiyo picha tu ni kama hapa mkuu, hivi ndivyo navyo ona sasaAngalia hapo version 8.8.57View attachment 2705455
Nipe namba yako ya wasapHahaha yani hata hiyo picha tu ni kama hapa mkuu, hivi ndivyo navyo ona sasaView attachment 2705459
tayr kiongozi,, chek pm yakoNipe namba yako ya wasap
tumia browserDaah picha hata sion mku wangu, hiki kitu naumia sanaa sipatai uondo, kila app nayo download inazingua tu
Mwenye link ashushe iyo app ambay ina support picha
Sometyms tuwe tunakubali tuache ushabiki, kwa cucuminywele ,fofana na Havertz tulipgwa .......... nasisi tukatafuta mnyonge wetu tukampga.Kwa mech ngapi umemuona ukathibitisha hivo au ushabiki tu
Tunaposema mudrky,fofana,cucubera, n.k mmepigwa tunamaanisha
Hasa hasa Arse88 ya pre season.Nimegundua mashabiki wa arsenal tunainjoy sana timu yetu
Havertz kashaanza kutupia pre season huku ,nyie mmewapiga kina Flano kwa mountSometyms tuwe tunakubali tuache ushabiki, kwa cucuminywele ,fofana na Havertz tulipgwa .......... nasisi tukatafuta mnyonge wetu tukampga.

Mchezaji asipocheza vzuri kwny timu Yao wanadhani na kwngine nako itakuwa hvyohvyo...Cucurella alikuwa mzuri kwlikwli Brighton...wamemchukua wao wakamuharibu kijana wa watu...yaani ile timu labda Pochettino awabadilisheHavertz kashaanza kutupia pre season huku ,nyie mmewapiga kina Flano kwa mount
Kai havertz ndiye best player kwa Chelsea last season,