Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mm nilitaka kujua EPL mna mda gani...nashukuru umenijibu miaka 10 ilopita....ni kweli kabisa sisi hatuna kombe la Ulaya lolote kabisa....lakini kumbe haya ya ndani tunayo machache....Sasa tuambie unavyoona kwa hiki kikosi chenye potential balloon d or winner according to u Mr Masebene...ni lini mnaona mnachukua EPL kwa huu mpira wenu na malalamiko ya kocha wenu baba Ubaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe unazungumzia Epl wakati sisi malengo yetu msimu huu tuchukue Uefa kabisa,
Watu tunamiliki wachezaji zaidi ya 5 kwenye kikosi wenye uwezo wa kuchua Ballon de Or halafu wewe unatuletea habari za mwanaFA?
Msimu huu Man Utd tusipochukua Uefa basi Asaninyau lazima washuke daraja.
 
NEW: Burnley are leading the race to sign Arsenal midfielder Albert Sambi Lokonga this summer. (@sr_collings)
 
Fabrizio Romano

Nimefahamishwa Arsenal wamewasiliana na kambi ya David Raya ili kuanza mazungumzo kuhusu mshahara - kwani mchezaji anapendelea Arsenal kuliko Bayern [emoji837][emoji836]️[emoji633]

Majadiliano yanafanyika, hakuna shida

lakini jambo kuu litakuwa kati ya vilabu kwani Brentford kila mara wanasisitiza juu ya ada ya pauni milioni 40.
20230730_170348.jpg
 
[emoji599][emoji599] EXCLUSIVE

Arsenal wapo kwenye mazungumzo na Burnley juu ya kutaka kumchukua kwa mkopo Sambi Lokonga. Dili litamuunganisha kiungo huyo na kocha wake wa zamani Vincent Kompany.

Auston Trusty pia anatazamiwa kuondoka Arsenal, huku Sheffield United wakiwa wanakaribia kumnasa

Chanzo :SamJDean -Mwandishi wa Habari za Arsenal kutoka The Telegraph

[emoji837][emoji836]
 
Tuuze

Bolagun
Nketiah
Sambi
Holding
Runason
Pepe
Cedric

N.k wasiokuwa kwenye mipango ya mwalimu

Tupate watu wanaopambana zaidi
kuvumilia ujinga tumechoka

Tunahitaji bench lakueleweka

20230731_135420.jpg
 
Lots of outgoing deals expected for Arsenal:

[emoji1201] Cedric - Villarreal
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Holding - Besiktas
[emoji631] Trusty - Sheffield Utd
[emoji1045] Lokonga - Burnley
[emoji631] Turner - Nottingham Forest

Bids for Balogun & Nketiah due soon. Pepe's contract may be terminated.

#AFC #Arsenal
 
Tavares hakuna wanaomtaka hata bure mkuu....yaani yule naona anasahaulika naona kwny kutajwa..au atakayetoa hela ya Balogun tuwape na Tavares bure kama nyongeza
 
Sijaona timu ya kutuzuia msmu huu
Ngao tunabeba
Uefa tunabeba
Epl tunabeba
FA tunabeba
Carabao tunabeba
THE GUNNERS FOREVER [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Tavares hakuna wanaomtaka hata bure mkuu....yaani yule naona anasahaulika naona kwny kutajwa..au atakayetoa hela ya Balogun tuwape na Tavares bure kama nyongeza
Zipo mbona ,Westham walimtaka akagoma

Sawa na Pepe tu ,
 
Sijaona timu ya kutuzuia msmu huu
Ngao tunabeba
Uefa tunabeba
Epl tunabeba
FA tunabeba
Carabao tunabeba
THE GUNNERS FOREVER [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Utakufa kwa presha kaka , makombe yote hayo ubebe kweli hakuna hata priority?
Duuuh[emoji16][emoji16]
 
[emoji599]Arsenal want David Raya but early signs are they will offer around £15m and Brentford are determined to take £30m at least

(Simon Jones - @MailSport Transfer confidential)
 
[emoji599] || Arsenal and Sheffield United in advanced talks over a £5m deal for CB, Auston Trusty. Player expected to travel for medical in coming days once deal is finalised

[Via - @SkySportsLyall].
 
[emoji599] #Arsenal have told Brentford they won't pay the £40m asking price for goalkeeper David Raya.

Talks continue to find a solution. #AFC #TransferTalks #Transfers
 
[emoji599] Inter Milan want Folarin Balogun to replace Romelu Lukaku. Arsenal are demanding over €40m. Inter want to pay close to €35m-€40m.

Reports, @FabrizioRomano in @CBSSportsGolazo.
 
Huyu raisi wa Napoli anakiburi Sana , amekataa €140m anataka €150m

Sasa hivi ukiwa na CF ana uhakika wa goli 20+ kwa msimu ndan ya Ligi 5 Bora ,Basi una asset kubwa

[emoji777] Napoli expected to turn down the €140m bid for Victor Osimhen as the club want at least €150m
 
Tavares hakuna wanaomtaka hata bure mkuu....yaani yule naona anasahaulika naona kwny kutajwa..au atakayetoa hela ya Balogun tuwape na Tavares bure kama nyongeza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama unamuona kwenye line up hivi

afu ujue dogo siyo mbaya sana, basi tu anahitaji kukazia baadhi ya vitu.

Akikopeshwa pale EPL tunaweza kupata hela nzuri
 
Huyu raisi wa Napoli anakiburi Sana , amekataa €140m anataka €150m

Sasa hivi ukiwa na CF ana uhakika wa goli 20+ kwa msimu ndan ya Ligi 5 Bora ,Basi una asset kubwa

[emoji777] Napoli expected to turn down the €140m bid for Victor Osimhen as the club want at least €150m
Nani kapeleka hyo hela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom