Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tavares hakuna wanaomtaka hata bure mkuu....yaani yule naona anasahaulika naona kwny kutajwa..au atakayetoa hela ya Balogun tuwape na Tavares bure kama nyongeza
kama unamuona kwenye line up hivi

afu ujue dogo siyo mbaya sana, basi tu anahitaji kukazia baadhi ya vitu.

Akikopeshwa pale EPL tunaweza kupata hela nzuri
 
Huyu raisi wa Napoli anakiburi Sana , amekataa €140m anataka €150m

Sasa hivi ukiwa na CF ana uhakika wa goli 20+ kwa msimu ndan ya Ligi 5 Bora ,Basi una asset kubwa

Napoli expected to turn down the €140m bid for Victor Osimhen as the club want at least €150m
Nani kapeleka hyo hela
 
AUze.. atakuja jutia.
 
Cedric huwa namuamini, labda tu ameshindwa kufanya kike kocha anapenda na pia umri unamuacha nadhani sasa hivi atakuwa kwenye 31 ama 32.
Cedric hamna kitu mule.....hata Fulham kashindwa kwenda kuji express wakati ni timu ambayo Haina presha kivile....
 
Wanatuharibia mpira wetu tu, Sheria ya FFP inabidi iwe worldwide
Itakuwa ngumu...na wachezaji sasahv hawaangalii tena ile heshima ya mafanikio ya kubeba Mataji m alimbali makubwa...they are more after money...tabia za wachezaji wa Kibrazil zimeshaanza kusambaa kwa wachezaji wte....maana Wabrazil wao ndo wanajulikana kwa kupenda mahela mengi kwa ajili ya anasa
 
AUze.. atakuja jutia.
Ana uhakika ,Kuna uhaba mkubwa wa ma CF, Kama Hojlund kafunga goli 9 seria A kauzwa €85m , Basi anaamini Victor atauzwa €150-200m ,alisema PSG tu ndio wanaweza ku afford maana watamuuza mbappe soon

Sasa wasaudia wameanza na €140m ,

Mimi sishangai De laurentias alitoa €80m kumnunua pale Lille , so miaka miwili jamaa katupia magoli 20+ , na Kuna demand ya CF , hivo ana uhakika wakumuuza Mara mbili ya Bei aliyomnunulia
 
Zinchenko - Robertson - Shaw - Chilwell

Faida ya Zinny ni nyingi kuliko hasara zake

Huyu jamaa akiwepo na Partey , huwa tunapiga mpira mwingi Sana
20230731_225127.jpg
 
Itakuwa ngumu...na wachezaji sasahv hawaangalii tena ile heshima ya mafanikio ya kubeba Mataji m alimbali makubwa...they are more after money...tabia za wachezaji wa Kibrazil zimeshaanza kusambaa kwa wachezaji wte....maana Wabrazil wao ndo wanajulikana kwa kupenda mahela mengi kwa ajili ya anasa
Tulikua na Alex Song. At Arsena tulimtreat kama mfalme.

Kisha akapokea ofa kutoka Barca.

Kwa maneno yake mwenyewe anasema "When I looked at the contract I didnt give a *** if am gonna play or not I knew I was gonna be a millionaire"

Mimi kila siku nasema waharibifu wa mpira walikua ni ligi ya Spain chini ya Madrid na Barca.

Madrid anatoa 80M kwa ajili ya Ronaldo. Anakuja anatoa 100M kwa ajili ya Bale, Barca anakuja anatoa 150M kwa ajili ya Coutinho na 100M+ kwaajili ya Dembele.

Hakuna aliyesema kitu.

Leo tupo kwa mtu aliyefunga goli 5 ila anajua kuzunguka na mpira kununuliwa kwa 100M. Waliotuanzishia hiyo safari ni Madrid, United, Barca, Liva, Dortmund
 
Back
Top Bottom