hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,519
FabrizioRomano kuhusu nia ya Arsenal kumsajili David Raya:
"Kuhusu Aaron Ramsdale, ufahamu wangu ni kwamba wazo litakuwa kuunda ushindani kati ya Ramsdale na Raya - sio swala la kuchukua nafasi ya mlinda mlango wa England.
"Ikiwa usajili huu utafanikiwa kutakuwa na vita vya kuvutia kwa nafasi ya kwanza katika upande wa Mikel Arteta."
[@caughtoffside]