Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Wewe unataka kunichosha tu na maswali yako yasiyo na kichwa wala miguu.Kwa hicho kipindi cha miaka 10 united imetumia shilingi ngapi ili kupata hiyo FA moja ambayo katika miaka 10 Arsenal alijimilikisha
Nyinyi kimewashinda nini na nyie kutumia hio pesa japo mpate hata Epl moja kama ni kazi rahisi?
Kwanza kubishana na mtu ambaye timu yake tokea imeanzishwa haijawahi kushinda hata ka Europa tu ni matumizi mabaya ya ubishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]