hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
RW ni £40m tu haitazidi hapo ,Arsenal wameamua kuspend ,wigo wa kuspend ni mkubwa ,Kwa hyo fee Sasa wakifanikiwa kumchukua naanza kuona RW back up ya Bukayo Saka itakuwa ngumu kupatikana maana sidhani kama kutakuwa kuna spend ya almost
Leo Chelsea wamesajili CB anaitwa Axel Disasi ,Nizar kinsela mwandishi wa standard sport anasema Arsenal walimuhitaji ila hawakutaka kulipa €45m
Hii inaonesha Kuna surprise zinakuja , sitashangaa tukiongeza RW ,RCB na GK ,
Arsenal ilishajiandaa kuja kutumia pesa bila kufungiwa pale ilipoondoa wenye mishahara mikubwa, na usipouzika unavunjiwa mkataba eg Ozil, auba , now Pepe anafata