Hii ndiyo top 5 yangu EPL:Naomba Nitajie watano tu mkuu
Kama ata hiyo top5 Rambo asingekuwepo ningesema kweli tunakipa shatiHii ndiyo top 5 yangu EPL:
1. Raya
2. Alisson
3. Pickford
4. Ramsdale
5. Ederson
Arteta should be arrested, this is football not war
- White VS Timber VS Tomiyasu.
- Havertz VS Ødegaard VS Vieira VS Emile.
- Partey VS Rice.
- Martinelli VS Trossard.
- Gabriel VS Kiwior
- Ramsdale VS Raya.
And possibly Saka VS Kudus.
Welcome to the big time, embrace it!
Mpango ni kusajili wachezaji wazuri na versatility kila nafasiHii ndiyo top 5 yangu EPL:
1. Raya
2. Alisson
3. Pickford
4. Ramsdale
5. Ederson
Sasa kaka kwenye kapu la big games ambazo ni game kweli kweliKwa kifupi raya ni mzuriii zaidi ya Rams , kwahiyo chelsea unaona ndo wakushuka daraja sawa bana August keshokutwa tu hapa tusijekukimbiana lakini now naona progress ya chelsea ni nzuriiii zaidi wana madogo janja wengi na kocha mpya usitegemee ikawa mbovu kama last season.
Raya mwenywe huyo still ni mali ya brentford bado hamjamsajili anaweza kubaki brentford si mara ya kwanza nyie kumtaka mlitajiwa bei mkarudi nyuma![]()
Ramsdale bdo kwangu ni kipa Bora kwenye ligi kuu...msimu ulopita kuna mechi nyng sana ametuokoa na Draw au kufungwa kabisa... Individual errors zinakuwepo ila kwake sio nyng tusianze kumponda kwa sababu tunahusishwa na Raya...refer mechi na Liverpool pale Anfield... Southampton pale Emirates ingawa alitoa Boko na tuka draw ila kuna saves za one on one akifanya...kwhyo bdo ni the bestMpango ni kusajili wachezaji wazuri na versatility kila nafasi
Huwez kucheza EPL , UCL ,FA na Carabao na wachezaji hao hao ,
Nakubaliana na wewe ,Aletwe Raya aje apambanie nambaRamsdale bdo kwangu ni kipa Bora kwenye ligi kuu...msimu ulopita kuna mechi nyng sana ametuokoa na Draw au kufungwa kabisa... Individual errors zinakuwepo ila kwake sio nyng tusianze kumponda kwa sababu tunahusishwa na Raya...refer mechi na Liverpool pale Anfield... Southampton pale Emirates ingawa alitoa Boko na tuka draw ila kuna saves za one on one akifanya...kwhyo bdo ni the best
Very good news Ramsdale kwa jicho la 3 ni one among the players aliyetoa sana maboko last season but errors hazikuonekana sababu ya saves zake refer Liverpool game ujio wa Raya nimeupenda reason alikuwa anajiona hana competitor akawa anajiamini kupitiliza but kwa sasa akae ajue akileta upumbavu atakuwa second choice Arsenal imetumia hela nyingi season hii katika EPL history hakuna masihara ukizingua unarudi benchi mazima na remind you kama Leno alitolewa na Arteta haiwezi kushindikana kwa Ramsdale akileta ujinga welcome RayaRamsdale bdo kwangu ni kipa Bora kwenye ligi kuu...msimu ulopita kuna mechi nyng sana ametuokoa na Draw au kufungwa kabisa... Individual errors zinakuwepo ila kwake sio nyng tusianze kumponda kwa sababu tunahusishwa na Raya...refer mechi na Liverpool pale Anfield... Southampton pale Emirates ingawa alitoa Boko na tuka draw ila kuna saves za one on one akifanya...kwhyo bdo ni the best
ulete ushindaniHii hajaletwa mtu wa kupush huyu ni wa kuchukua mikoba kabisa.Najua uwezo wa Raya kuanzia shot stopping had footwork
Ramsdale analetewa mtu wa kumpush ikiwezekana wakugawana michuano kabisa
Had Jana ilikuwa aende Bayern kagoma ,unakumbuka huu ulikuwa uwe ndio usajili wetu kipind anafika ArtetaView attachment 2703131View attachment 2703132
Hii ndiyo top 5 yangu EPL:
1. Raya
2. Alisson
3. Pickford
4. Ramsdale
5. Ederson
Kwenye penalties hayupo vzr , sijajua Raya kwa penalties yupojeHii hajaletwa mtu wa kupush huyu ni wa kuchukua mikoba kabisa.
Mimi tangu nimuone Aaron Arsenal sijaona akiwa kaokoa penati hata moja.
For years nikawa nasema in terms of shot stopping Ramsdale siyo mtamu. Hicho ndiyo akifanyie kazi
Sasa kaka kwenye kapu la big games ambazo ni game kweli kweli
Port 1 kuna Man city,Arsenal,Liver na Newcastle,,
Port 2 kuna Aston villa, Nyumbu, Brighton,.tott ,
Hao wengine ndo kuna Chelsea Timu inasajili kila siku toka dirisha dogo wanasajili tu na kwenye wachezaji 20 ni mchezaji mmja tu kaonyesha anakitu na usajili wao ni avarage kabisa aiseee.





.Chelsea carabao haipo?Kumbuka Arsenal mna vitu viwili, big games na games zinazowanyima ubingwa / top 4 inategemeana na msimu huo mpo vipi
Port 1 kuna Man city ,Liverpool, Newcastle, Aston villa, chelsea , Tottenham na Man utd
Port 2 kuna (any team 10 games to go ).
Chelsea hawana tu subs za maana ila madogo kwenye watapambana warudiii top 4 first eleven ipo tena now wapo kwenye ligi na Fa cup
Kumbuka Arsenal mna vitu viwili, big games na games zinazowanyima ubingwa / top 4 inategemeana na msimu huo mpo vipi![]()
![]()
![]()
Port 1 kuna Man city ,Liverpool, Newcastle, Aston villa, chelsea , Tottenham na Man utd
Port 2 kuna (any team 10 games to go )![]()
.![]()
Chelsea hawana tu subs za maana ila madogo kwenye watapambana warudiii top 4 first eleven ipo tena now wapo kwenye ligi na Fa cup
Kwenye hyo port 1 toa hao Newcastle...Aston villa... Tottenham... Chelsea ndo hata usiwaweke...hyo timu ni mamluki wetu Wana point sita zetu....halafu kwny big games unaanzaje kumuweka Newcastle kwa kipi hasa aisee...narudia hapa na nitarudia come May...mlicho achieve Newcastle msimu ulopita ndo mwanzo na mwsho hakitakaa kitokee tena karibuni na aina ya kocha nlonaye....sahau kuingia top 4...sahauKumbuka Arsenal mna vitu viwili, big games na games zinazowanyima ubingwa / top 4 inategemeana na msimu huo mpo vipi
Port 1 kuna Man city ,Liverpool, Newcastle, Aston villa, chelsea , Tottenham na Man utd
Port 2 kuna (any team 10 games to go ).
Chelsea hawana tu subs za maana ila madogo kwenye watapambana warudiii top 4 first eleven ipo tena now wapo kwenye ligi na Fa cup
Chelsea carabao haipo?
Thamani yake??...hili dili mbona linaenda fastafasta sana na kimyakimyaArsenal are ready to bid for Brentford’s David Raya. The Spaniard would come in to challenge Aaron Ramsdale for a starting spot.
Reports,
@SamJDean.
Hili dili ni gumu kwenye Bei kabakiza mwaka mmoja , ila Brentford wamekuwa waki demand £40m ,vilabu vingi vimekimbia hii BeiThamani yake??...hili dili mbona linaenda fastafasta sana na kimyakimya

Kwa hyo fee Sasa wakifanikiwa kumchukua naanza kuona RW back up ya Bukayo Saka itakuwa ngumu kupatikana maana sidhani kama kutakuwa kuna spend ya almostHili dili ni gumu kwenye Bei kabakiza mwaka mmoja , ila Brentford wamekuwa waki demand £40m ,vilabu vingi vimekimbia hii Bei
Ila Arsenal nataka nione tutamchukua kwa ngapi, maana mchezaji kaonesha Nia ya kuja ,Mara nyingi ikiwa hivi deal linakuwa jepesi
Ramsdale ilitakiwaga £40m , ila Arsenal mwisho walimchukua kwa £24m+6add ons (£30m)
Thomas Frank kaongea jion hii anasema
“He's worth £40m fee — he was one of the four best keepers in the PL last season”.
“What is the fair price for a player with one year left? Declan Rice went to Arsenal for £105m? And Harry Kane, they're talking about £150m?”.