Embu angalia nani kaanza kutuka kama sio Arsenal mwenzio sio unatetea upumbavu, acha hizo. Sijawah mtukana mtu ila mtu anatokea anakwambia una mambo ya kishoga?!!Huyu jamaa huwa Kuna muda muache ,huwa anakuwa like crazy hivi, Kuna time watu Kama Hawa usiwajibu ,lengo lao huwa habari humu ziwe za matusi, waanze kusema mashabiki wa Arsenal Wana matusi ,n.k
Mpira ni furaha na kutaniana, sasa kama mtu hawezi kutaniwa ni bora akakaa kimya tu, sio kuanza kusema nina mambo y kishoga. Na wewe unakuja unadandia tu bila kumkanya Arsenal mwenzio